Unamjua Mtanzania aliyewahi kuchezea Borussia Dortimund

LAZIMA UTAKUA UMELAZA KALENDA NYINGI
 
Yaah!abeid mziba (tekelo)hagusi hapo yeye alicheza na kina minziro yusuph bana kina mwalusako huyo kassim waqt wake wa pan ndio hao kina tenga kassim matitu Ibrahim kiswabi.
DAH UMENIKUMBUSHA MUSSA HASSAN MGOSI
 
Kitwana Manara(poppat)
Sunday Manara(computer)
Kassim Manara

Mara ya mwisho 1999 nilisikia na toka kwa rafiki yangu ,anayeishi Ujerumani kwamba Kassim Manara alikuwa Nchini Austria , hali mbaya anapiga maji si mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…