Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
LAZIMA UTAKUA UMELAZA KALENDA NYINGIKassim Manara nlimwona wakati huo sijaanza hata darasa la kwanza sikumbuki mwaka ilikuwa ni Pan na Vita ya Zaire sasa Congo DRC.Nawakumbuka Lofombo,Mayanga na Lobilo ilikuwa bonge la mechi siwezi kusahau Pan Afrika walikuwa wakicheza mechi zao zote Jijini Arusha enzi hizo.