Unamjua Sheikh Sharif? StarTv Mcheza Kwao!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Fatilia StarTv anafanya interview(recorded)_Mcheza kwao
 
Ameanza kuzungumza akiwa na miezi 9! Alizaliwa mpwapwa mwaka 1986 baba yake alikua askari polisi na mama yake mkaanga maandazi,kwa sasa anaishi magomeni nyumbani kwake!
 
Ameanza kufanya kazi za kidini(Miadhara) akiwa na miaka miwili tu!
 
kwa sasa yupo wapi na anafanya nini? hakuzaliwa tabora huyu?
 
Ataishia kuwa mfuga majini tu huyo, na kusoma hajasoma alidhani yale majini yaliyokuwa yanaongea koran yatakuja kumsaidia ukubwani, kazi kwake sasa.
 
ha ha ha ha ha dunia ya sayansi na teknolojia skul lazima
 
There's no way mtoto wa miezi 9 kuongea, ni majini hayo!
 
Ataishia kuwa mfuga majini tu huyo, na kusoma hajasomayale majini yaliyokuwa yanaongea koran yatakuja kumsaidia ukubwani, kazi kwake sasa.

what i know kasoma, maan kuna kipindi nfikir alikuwa shule, then jinni hawezi kupanda kwa mtoto wa miezi 9 kamwe, usidanganywe na wachungaji uchwara kaka....kwa taarifa yako kur ani imeiacha elimu ya kizungu mbaaali sana
 
Aiseee eti eeh, basi kamwambie mwalimu wa quran akarushe ndege kama kuran peke yake unaiona imesheheni knowledge zote, quran ina elimu dunia ndio lakin ni ile basic knwledge ambayo haina msaada specifically so kwenda shule ni lazima, kubali kataa wanazuoni elimu ya kiislamu elimu dunia baaado saana including huyo sheikh shariff
 
@ no fear usidharau quraan na pia usikrem kuhusisha majini na quraan.kamwe usidharau jambo usolijua
 
what i know kasoma, maan kuna kipindi nfikir alikuwa shule, then jinni hawezi kupanda kwa mtoto wa miezi 9 kamwe, usidanganywe na wachungaji uchwara kaka....kwa taarifa yako kur ani imeiacha elimu ya kizungu mbaaali sana

lakin si ndo iyo kila siku mnalalama mnahujumiwa sometimes vya makafir ni lulu!
 
Ameanza kuzungumza akiwa na miezi 9! Alizaliwa mpwapwa mwaka 1986 baba yake alikua askari polisi na mama yake mkaanga maandazi,kwa sasa anaishi magomeni nyumbani kwake!

hivi kwanin huwa hawaishi mbezi au masaki? Magomeni tuu? Y?
 
Kuna wateja wao wengi halafu ni karibu(center) kutoka kila eneo ukitoka mwenge,mbagala,posta,ubungo lzm upite hapo.
 
Ataishia kuwa mfuga majini tu huyo, na kusoma hajasoma alidhani yale majini yaliyokuwa yanaongea koran yatakuja kumsaidia ukubwani, kazi kwake sasa.

Kagundua Majini 2900 hayamsaidii kaamua kuokoka.
 
Niliwahi kuambiwa majini huvaa kama wadada wa kiislam ili yasionekane vzr sasa hapa udom ni wengi(mengi)naogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…