King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Fatilia StarTv anafanya interview(recorded)_Mcheza kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha dunia ya sayansi na teknolojia skul lazimaAtaishia kuwa mfuga majini tu huyo, na kusoma hajasoma alidhani yale majini yaliyokuwa yanaongea koran yatakuja kumsaidia ukubwani, kazi kwake sasa.
Ataishia kuwa mfuga majini tu huyo, na kusoma hajasomayale majini yaliyokuwa yanaongea koran yatakuja kumsaidia ukubwani, kazi kwake sasa.
what i know kasoma, maan kuna kipindi nfikir alikuwa shule, then jinni hawezi kupanda kwa mtoto wa miezi 9 kamwe, usidanganywe na wachungaji uchwara kaka....kwa taarifa yako kur ani imeiacha elimu ya kizungu mbaaali sana

Ameanza kuzungumza akiwa na miezi 9! Alizaliwa mpwapwa mwaka 1986 baba yake alikua askari polisi na mama yake mkaanga maandazi,kwa sasa anaishi magomeni nyumbani kwake!
lakin si ndo iyo kila siku mnalalama mnahujumiwa sometimes vya makafir ni lulu!
hivi kwanin huwa hawaishi mbezi au masaki? Magomeni tuu? Y?
hivi kwanin huwa hawaishi mbezi au masaki? Magomeni tuu? Y?
Ataishia kuwa mfuga majini tu huyo, na kusoma hajasoma alidhani yale majini yaliyokuwa yanaongea koran yatakuja kumsaidia ukubwani, kazi kwake sasa.