Unamjua vizuri Idd Amin wa Uganda? Soma mambo haya 10 ubaki mdomo wazi1

Unamjua vizuri Idd Amin wa Uganda? Soma mambo haya 10 ubaki mdomo wazi1

Natamani kipindi kile cha vita ingekuwa utawala huu wa Magufuri alafu na maisha yangekuwa hivi hivi kila kitu bei juu [emoji34]
 
Ungefanya utafiti kidogo upate ukweli halisi sio huo wa Eurocentric, kama Mzee the bold anavyofanya sio hzo stories zako za vijiweni, poor....
Mkuu, ungeweka na wewe ya kwako kama alivyo fanya mkuu Motochini hapo ju!
 
Hayo yote yaliandikwa na nyerere kwa sababu za udini wala sio kweli kwani alikuwa kipenzi cha watu mpaka basi maana wananchi walimuweka IDD baada ya kuona mtafutaji wa Uhuru wako bwana Obote kushindwa nchi
Kua muumini wa mwarabu ni sawa tu na kujiunga na chama cha Lumumba, wote hawatakiwi kutumia akili zao, ni kukariri kwa kwenda mbele tu. Hvi mtu aliyezaliwa miaka 70 kurudi nyuma anaweza kumtetea Amini kwa jambo zuri kweli?
 
Field Msrshal Idi Amina na majeshi yake walipigwa vibaya na kushindwa, hadi Idi Amin kukimbia nchi mwaka 1979.
Kipigo kiliongozwa na General David Musuguri, kamanda wa JWTZ, aliyepigana pomoja na Idi Amin (dhidi ya Wajerumani) wakiwa wote chini ya jeshi la wa kikoloni la Kings African Rifles(KAR~ kutamkwa Keya na watu wa kawaida).
Inasemekana walikuwa wote kambi kuu ya Tabora Barracks.

Hivyo basi vita ya Uganda ilikuwa baina ya askari waliopigana upande mmoja dhidi ya Wajerumani hadi mwaka 1945.
mkuu unatulisha matango nyika hao walipigana dhidi ya Mjeruman vita gani na wapi
 
mkuu unatulisha matango nyika hao walipigana dhidi ya Mjeruman vita gani na wapi
Nyie vijana mliosoma na Kayumba mna very very poor historical knowledge background.

Mwaka jana tumemzika mjomba wangu aliyepigana vita kuu ya pili akiwa na miaka 20.
Mjomba amefariki akiwa na umri wa 95yrs.

Mbaya zaidi inaelekea mtoa post hujui kuwa vita ya mjerumani hapa Tanganyika iliisha 1918.

Vita Kuu ya pili dhidi ya mjerumani ilipihanwa hasa nje ya mipaka ya Tanganyika.
Askari wa kiafrika kama mjomna wangu walikuwa conscripted kwenda kupigana India, Burma, Misri na Lyibia.

Hivyo sishangai kwa nini unashindwa kuelewa kuwa Idi Amin na Musuguri walukuwa pamoja Tabora Barracks wakati huo chini ya KAR, Kings African Rifles.
Kwa vile huna uelewa huo, you cannot even comprehend the facts.
 
Documentaries za Idi Amin zipo nyingi tuu, ambap ukizitazama unaziona na kujifunza mengi kuhusu personality ya Idi Amin. Na pia kuna sinema za Idi Amin ambazo zimeratibiwa na wazungu. Cha kushangaza ni kwamba, sinema za Idi Amin zinaonekana ndiyo Idi Amin kuliko Documentaries zake.
 
Idd Amin hajawai kula nyama za watu ni mashoga ndo wanamzushia,,Uongo uongo mwingi sana kuhusu huyu babu
 
Hiyo namba 10 si kweli kuwa hawakuruhusiwa kuandika historia yake. Ki ukweli ni kwamba historia yake ya utotoni ina ukakasi. Kwanza hata tarehe aliyozaliwa haifahamiki. Pili hajawai ingia shule au hajawai soma shule yoyote kiasi cha kuacha kumbukumbu ya historia. Mama yake na baba yake inasemekana walikuwa ni wasudani. Ila kwa idi toka alipokuwa mpiganaji wa ndindi alijikita kujifunza luganda na kuswahili vitu ndio maana anainekana muganda. Historia yake ya kiutawala imeandikwa zaidi katika kitabu kiitwacho the eight years of tension. Uganda
Sasa kipi kinashindikana?

Kutokwenda shule sijui kutokujua mwaka wa kuzaliwa hivyo hivyo ndio habari zake za kuandikwa
 
saudi arabia wana jifanya dini ya uislamu kuwa wanajua lakini kupokea maovu ndo wanaongoza kwa kutumia kivuli cha dini s.w.a mtume muhamadi
upuuzi sana kwani adui wako ndiye adui wa mwenzio. ujinga ni kuamini kuwa adui wako ni wa wote
 
Back
Top Bottom