mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
Tulia tupo kaziniFursa
Dogo kipindi flani cha kati ulipoteaga kumbe ulienda kumtembelea Kaka yako uswaz Baada ya kushurutishwa na dada yako.Unamtaka kwa nia gani? Umri wako, jinsia, makazi yako, shughuli zako za kila siku ni zipi?
Vipi Magdalena hujambo? Umepona Bawasili au bado inakutesa..Dogo kipindi flani cha kati ulipoteaga kumbe ulienda kumtembelea Kaka yako uswaz Baada ya kushurutishwa na dada yako.
Naona umerudi kwa shemeji yako kwenye free WiFi na bundle za kutosha
π π π π π π π π Hahahaaa we jamaa bana.. ila si ungetumia jina lingine sio mpaka hilo la magdalena...Vipi Magdalena hujambo? Umepona Bawasili au bado inakutesa..
Dogo kipindi flani cha kati ulipoteaga kumbe ulienda kumtembelea Kaka yako uswaz Baada ya kushurutishwa na dada yako.
Naona umerudi kwa shemeji yako kwenye free WiFi na bundle za kutosha
π π πUmepona Bawasili au bado inakutesa.
Kama upo Dar nenda kwake msasani.. ulizia kwa yusuph Ni wapi ( Utaona jumba la kifahari nje kuna minazi Kama Zanzibar) .. Ongea na walinzi.
Ila Kama uko Zanzibar nenda kwenye hotel Yao iitwayo "HOTEL VERDE" ..
Huwa anapatikana Sana huko kwasababu jamaa anapenda Sana michezo ya baharini ... Au Kama utaweza nenda viwanja vya Chamazi ulipo uwanja wa timu ya Azam ,utamuona tu kwenye programs za vijana maana jamaa Ni football agent pia.
Ila Kama utaweza mcheki Instagram ,nimeogopa kuweka link yake hapa nisije kupata Ban ...
Shukrani kingozi.
Msasani ipi.?
A the best.
Ataliona jumba kubwa ,yy agonge tu ,asisahau kubeba mirungiMsasani kwa kikwete , ukifika ulizia kwa wenyeji.
Regency Hotel pale, utaona njia nzuri inaingia kwa ndani ifuate hy hyShukran kiongozi.
Msasani ipi.?