Unamjua Yusuf Said Salim Bakhresa

Unamjua Yusuf Said Salim Bakhresa

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
258
Reaction score
110
Waungwana habari zenu.
Nashida ya kuonana na mtajwa hapo juu Yusuf Said Salim Bakhresa.
Nimejaribu njia kadhaa sijafanikiwa.
Kama unajua anapoishi itapendeza zaid ukinifahamisha.
Namba yake binafsi ya simu.
Wapi anapendelea kutembelea.
KAMA KUNA NJIA YOYOTE MBADALA YA KUMPATA NIAMBIE.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Nenda kwa dadaake pale Haile Selassie kuna residential house with Arabic architecture nimesahau plot no, mwambie akuwezeshe kuonana na ndugu yake.
 
Kama upo Dar nenda kwake msasani.. ulizia kwa yusuph Ni wapi ( Utaona jumba la kifahari nje kuna minazi Kama Zanzibar) .. Ongea na walinzi.

Ila Kama uko Zanzibar nenda kwenye hotel Yao iitwayo "HOTEL VERDE" ..
Huwa anapatikana Sana huko kwasababu jamaa anapenda Sana michezo ya baharini ... Au Kama utaweza nenda viwanja vya Chamazi ulipo uwanja wa timu ya Azam ,utamuona tu kwenye programs za vijana maana jamaa Ni football agent pia.

Ila Kama utaweza mcheki Instagram ,nimeogopa kuweka link yake hapa nisije kupata Ban ...

A the best.
 
Unamtaka kwa nia gani? Umri wako, jinsia, makazi yako, shughuli zako za kila siku ni zipi?
Dogo kipindi flani cha kati ulipoteaga kumbe ulienda kumtembelea Kaka yako uswaz Baada ya kushurutishwa na dada yako.

Naona umerudi kwa shemeji yako kwenye free WiFi na bundle za kutosha
 
Vipi Magdalena hujambo? Umepona Bawasili au bado inakutesa..
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Hahahaaa we jamaa bana.. ila si ungetumia jina lingine sio mpaka hilo la magdalena...
 
Point saana.huyu mtoto Wa mama hajielewi
Dogo kipindi flani cha kati ulipoteaga kumbe ulienda kumtembelea Kaka yako uswaz Baada ya kushurutishwa na dada yako.

Naona umerudi kwa shemeji yako kwenye free WiFi na bundle za kutosha
 
Kama upo Dar nenda kwake msasani.. ulizia kwa yusuph Ni wapi ( Utaona jumba la kifahari nje kuna minazi Kama Zanzibar) .. Ongea na walinzi.

Ila Kama uko Zanzibar nenda kwenye hotel Yao iitwayo "HOTEL VERDE" ..
Huwa anapatikana Sana huko kwasababu jamaa anapenda Sana michezo ya baharini ... Au Kama utaweza nenda viwanja vya Chamazi ulipo uwanja wa timu ya Azam ,utamuona tu kwenye programs za vijana maana jamaa Ni football agent pia.

Ila Kama utaweza mcheki Instagram ,nimeogopa kuweka link yake hapa nisije kupata Ban ...
Shukrani kingozi.
Msasani ipi.?

A the best.
 
Back
Top Bottom