Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Mtumishi mwenzangu wa nilimpostia ujumbe, loh Kaka una umbea umemzidi hata mama teri wa ITV,
Acha kutufanya watoto humu, halafu unajua id yako si ya kitoto humu?
...kuna member mmoja humu alikuwa analeta nyuzi za namna hii! Leo mwanamke kesho mwanaume... anajulikana nadhani sexer!
Au hii id yako ni replica ya huyo sexer..!?
Sent from my iPhone using JamiiForums