Unamkumbuka aliyekutoa Bikra: Ukikutana naye utampa zawadi? Mumeo ulimuadithia?

Unamkumbuka aliyekutoa Bikra: Ukikutana naye utampa zawadi? Mumeo ulimuadithia?

Aisee.. mtoa mada umenikumbusha mbali sana mkuu! Hivi mwanaume ambaye hajawahi kufanya tendo la ndoa hadi ukubwani naye anaitwa bikra?
 
Ivi ni haki kumuuliza mwanamke...juu ya mwanaume wake alie mtoa bikra...niliwahi kumuuliza shemeji yenu akaninunia wiki nzima...sasa naanzaje kumuuliza na anijibu kama ninavyotaka...?
 
Bariadi eeeh!?

Sima, Kidinda, Ibulyu, Isanga, Majahida, Lugulu, Mahaha, Bumela, Sanungu, Somanda, Gidulya, Dutwa, Mbiti, Ngulyati, Nyaumata, Old Maswa, Ng'wakibuga, Igaganulwa, Nyakabindi, Sapiwi, Nkololo, Ng'wamungesha, Malambo, Matongo....Bariadi wapi? Wewe waweza kuwa hata dadangu kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakusaidia Kilulu,Nyangokolwa,Old Maswa,Kidulya, Marambo, Bwanhamhala, Gangabilili,au Matongo
 
Nakumbuka tu nilimwambia naweka kichwa tu akakubali, kilichotokea ni yowe ya kukimbizwa na simba
 
Mkuu kweli ulikuwa mwanamume rijali..!!! Unatumiaje siku 5 nzima kutoa bikira tens kuzamisha yote..?
Me siku hyohyo ataelewa kula mutual
Nilikuwa na msichana mzuri sana alinizungusha zaid ya miaka mitatu hataki kunipa tunda na ananiambia ni bikira,, mwanaume nilipambana mara tukaachana coz anaogopa kunipa gemu

ikapita miaka mitatu tena bila mawasiliano mara akanitafuta sikuamini kumbe bado alikuwa ananielewa sana akarudisha mahusiano mim nikamtema nilihis ananiinjoi nikajua ameshatolewa bikra akaniambia nimekutunzia hii ni bikra yako mwanaume namim nikaelewa kukayajenga nikamsafirisha hadi kuja kwangu Arusha nikakuta kitu bado sild kama cha mtoto, kwakwel nilitumia siku 5 ad tukafanikisha kuizamisha yote. Sitosahau niliinjoi tunda zaid ya mwez mmoja.

Sijawahi kukutana na bikra ndogo kama ile.
Ila kuna wengine kama watatu ivi nimeshawatoa bikra wawili wanafunzi mmoja dada wa mtaani tu. Na ad kesho nikionana nao tunapiga gemu bila maombi.
 
Kusema ukweli ni dhambi kubwa sisi wanaume tunafanya ya kuvunja bikra za watoto wa watu kisa tu tamaa zaò, adolescent yao na ushawishi wa peer groups.

Kama mwanaume huwa tuna umizwa sana unapo pata pisi kali ambayo ndo unaiandaa kuwa mke alfu unakuta wahuni washatoa bikra zamani. Ina umiza sasa na ukijaribu kufuatilia unakuta jamaa aliye fanya hvo ni muhuni mmoja asiye na mbele wala nyuma.

Tujiepushe na dhambi hii ya kuona ufahari kutoa bikra ya mwanamke ambaye huna malengo naye. Tambua muosha, huoshwa.

Suala la kusema kwa vile nilimtoa basi nitamkula nikijisikia, tambua mwamba akikukamata ana kutoa bikra ya mtaro. Tujifunze
 
aliniambia bado haijatolewa, mzee mzima hangaika na kuhangaika lakini wapi, nikaona isiwe tabu bora tuzae tuu itakuja kutoka yenyewe mbele ya safari!
 
Kusema ukweli ni dhambi kubwa sisi wanaume tunafanya ya kuvunja bikra za watoto wa watu kisa tu tamaa zaò, adolescent yao na ushawishi wa peer groups.

Kama mwanaume huwa tuna umizwa sana unapo pata pisi kali ambayo ndo unaiandaa kuwa mke alfu unakuta wahuni washatoa bikra zamani. Ina umiza sasa na ukijaribu kufuatilia unakuta jamaa aliye fanya hvo ni muhuni mmoja asiye na mbele wala nyuma.

Tujiepushe na dhambi hii ya kuona ufahari kutoa bikra ya mwanamke ambaye huna malengo naye. Tambua muosha, huoshwa.

Suala la kusema kwa vile nilimtoa basi nitamkula nikijisikia, tambua mwamba akikukamata ana kutoa bikra ya mtaro. Tujifunze
acha watolewe tu tatizo mabint wenyewe katika ukuwaji wao hawajitambui.

Kama mleta mada kafunguka hapo alienda Dar kwa mambo ya masomo wakaenda kulewa akatolewa hicho alichokisema so alijitakia na alifurahia na wengine wengi wanatolewa hivyo hivyo so acha wahuni wafaidi
 
Back
Top Bottom