Unamkumbuka aliyekutoa Bikra: Ukikutana naye utampa zawadi? Mumeo ulimuadithia?

Mimi nilitolewa bikra kipindi tumemaliza kidato cha sita MSALATO -dodoma tunakwenda Dar es salaam, UDSM kufanya mtihani wa Mchujo, tukafika Dar, baada ya mtihani pale nkurumah Hall, tukaenda disko pale Mwenge ukumbi wa Silent Inn, ndio mara ya kwanza kunywa na kulewa, wakaka wakatuchukulia tax wakatupeleka na wasichana wengine 2 mpaka Gesti pale Ubungo Msewe, nakumbuka NILIUCHEZEA MPAKA ASUBUHI alafu nikarudi zangu BARIADI, , huyu jamaa anaitwa ALPHONCE anafanya kazi WIZARA MOJA ambayo haijahamia dodoma kama afisa mwajiri, hatujawahi kukumbushiana tena ila natamani gemu kama ile , tatizo ndoa, siwezi toka nje tena.
Kwa kifupi ni kama ulibakwa!😎
 
Labda siku hizi msalato utoke bikra

Wakati MAZENGO ilikuwa kahawa yao
 
Hili swala la kutoa bikra huwa nalifikilia sipati majibu yake.
Wanamme tu wengi zaidi ya wadada lakini ajabu mnaweza kuwa kundi la wanamme hata zaidi ya 10 wote ikawa hamjawahi kumtoa bikra mwanadada. Kwa wingi wao huo ni nani huwa anabimoa ukuta wao?
Sisi hapa Studs, tunazitoa kabisa wakija kwenu msihangaike.
 
Mm nakumbuka ktk ujana wangu niliwahi kuwatoa bikra wasichana wawili alaf wote nilikuwa nasoma nao O-level maweni sec tanga
Nakumbuka wa kwanza nilimtoa tukiwa form two na wa pili nilimtoa tulipomaliza shule ...
Na wote wameolewa saiv ila bado tunawasiliana as class mates
 
Back
Top Bottom