Unamkumbuka Amrish puri?

LOHA,MR INDIA,KOYLA HUMO HAFAI MZEE HUYU......R.I.P AMRISH POOR
 
Naona pilau zimeshaanza kuwalevya....

Sent from mTalk
 
Nasoorden Shah utampenda katika filam ya Mohra.
Pamoja nae Zari Mendrah. Ilikua ni hatari miaka ya 90.
 
Tupeni na habari za Govinda na andha kanoon.
(majina magumu)
 
Movie ya kipindi kama jambaz sio puli ilikua hainogi na kachumbari awepo asilani au john liver
 
Mzee Ashanti,Kubwa la maadui....RIP
 
Hapa ilikuwa loha si mchezo wa kitoto hapo
 
Amecheza muvi nyingi sana. Muvi ya kwanza kumuona ni andhaar kanoon ya amitabh bachan
Dah bonge la movie hilo, halafu me nilikuwa napenda lile song alilokuwa akiimba Amita kila anapokuwa anjiani anatembea
 
Nasoorden Shah utampenda katika filam ya Mohra.
Pamoja nae Zari Mendrah. Ilikua ni hatari miaka ya 90.
Kwenye Mohra walikuwepo Akshay Kumar, Sunil Shetty na Nasoorden Shah (Jambazi), Zari Mendra hakuwepo mkuu
 
Tupeni na habari za Govinda na andha kanoon.
(majina magumu)
Govinda movie yake bora kabisa ilikuwa Hatya, enzi hizo tulikuwa tunaiita Govinda yaya maana aliigiza na kitoto bubu sasa kikawa kinamuita govinda yayaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…