Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,013
- 3,679
Mugambo,ashanti,amrip,amrish puri.Nilivyokuwa mdogo nilikuwa namuita Adui Kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mugambo,ashanti,amrip,amrish puri.Nilivyokuwa mdogo nilikuwa namuita Adui Kubwa.
mkuu jina la movie hiyoo inaitwa (loha)Vipi nacheza vizuri sana kwenye ile VISHWATMA?,ndani iko na Sunny Deo
Pale amitabh anamkimbiza na panga mpaka mahakamani.Amecheza muvi nyingi sana. Muvi ya kwanza kumuona ni andhaar kanoon ya amitabh bachan
Kubwa la majambazi.Nilivyokuwa mdogo nilikuwa namuita Adui Kubwa.
Nasoorden Shah utampenda katika filam ya Mohra.Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....nawasilisha
Heri mugambo
Movie ya kihindi kama jambaz sio puli ilikua hainogi na kachumbari awepo asilani au john liver
Movie ya kihindi kama jambaz sio puli ilikua hainogi na kachumbari awepo asilani au john liver
Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....
View attachment 450244
nawasilisha
Hapa ilikuwa loha si mchezo wa kitoto hapoHabari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....
View attachment 450244
nawasilisha
Mkuu Loha ni movie tofauti na Vishwatmamkuu jina la movie hiyoo inaitwa (loha)
Dah bonge la movie hilo, halafu me nilikuwa napenda lile song alilokuwa akiimba Amita kila anapokuwa anjiani anatembeaAmecheza muvi nyingi sana. Muvi ya kwanza kumuona ni andhaar kanoon ya amitabh bachan
Kwenye Mohra walikuwepo Akshay Kumar, Sunil Shetty na Nasoorden Shah (Jambazi), Zari Mendra hakuwepo mkuuNasoorden Shah utampenda katika filam ya Mohra.
Pamoja nae Zari Mendrah. Ilikua ni hatari miaka ya 90.
Govinda movie yake bora kabisa ilikuwa Hatya, enzi hizo tulikuwa tunaiita Govinda yaya maana aliigiza na kitoto bubu sasa kikawa kinamuita govinda yayaaTupeni na habari za Govinda na andha kanoon.
(majina magumu)