Unamkumbuka Amrish puri?

Govinda movie yake bora kabisa ilikuwa Hatya, enzi hizo tulikuwa tunaiita Govinda yaya maana aliigiza na kitoto bubu sasa kikawa kinamuita govinda yayaa
Umeniinspire kuangalia movie za kidosi
 
Zamani tulikuwa tunaziangalia bila subtitles na tulikuwa tunazielewa lakini sasa hivi bila subtitles siangalii [emoji3]
 
Mughambu. ...R. I. P
 
Huku arusha walikuwa wakimwita dingi la nyambisi nimeangalia sana movie zake ninayo ikumbuka ni ile aliyo cheza na ajay davgan mzee anaogea maziwa alafu wananchi wanakinga wanakunywa baadaye ana mchora dadake ajay tattoo za matusi mwili mzima... Nyingine ni ile ya Mr india
 
Kwa kumbu kumbu zangu hakuna movie inaitwa ROHA... Labda LOHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…