jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Umeniinspire kuangalia movie za kidosiGovinda movie yake bora kabisa ilikuwa Hatya, enzi hizo tulikuwa tunaiita Govinda yaya maana aliigiza na kitoto bubu sasa kikawa kinamuita govinda yayaa![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniinspire kuangalia movie za kidosiGovinda movie yake bora kabisa ilikuwa Hatya, enzi hizo tulikuwa tunaiita Govinda yaya maana aliigiza na kitoto bubu sasa kikawa kinamuita govinda yayaa![]()
Mkuu zina stori nzuri sana jaribu kuzicheki utazipenda tuUmeniinspire kuangalia movie za kidosi
Mughambu. ...R. I. PHabari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....
View attachment 450244
nawasilisha
Kwa kumbu kumbu zangu hakuna movie inaitwa ROHA... Labda LOHAHabari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....
View attachment 450244
nawasilisha