Halafu sasa chura akiwa anaongea,anammuliza mme wake kwa nini huna raha,kijana anajibu mfalme kasema kila mke wa mwanae atendeneze zuria jekundu,ule utoto ulikuwa poa sanaAkajesembamba..xhura...mi nilijua ni za kweli hehehe
Kuna hadithi nyingi zilikua nzuri na zenye mafundishoAkajesembamba..xhura...mi nilijua ni za kweli hehehe
Nimekutana Mlimani tv na mahojiano ya mtangaziji wa zamani sana Radio tanzania "RTD" anaitwa Debora mwenda dah huyu mama sasa ni mzee na sasa hivi anamiliki shule ya msingi bahari beach
Ki ukweli nilivutika sana enzi hizo na vipindi vyake hususani vile vya "Chei chei" na "Mama na mwana
Anasema amestaafu mwaka wa 1995 ana watoto 4 kwa sasa
Yapi mnayokumbuka enzi ya vipindi vya bibi huyu?sio mbaya tukikumbushana hapa ilikuwaje na ulikuwa wapi enzi hizo?Tv alikuwa anaangalia mwalimu nyerere tu.
Halafu sasa chura akiwa anaongea,anammuliza mme wake kwa nini huna raha,kijana anajibu mfalme kasema kila mke wa mwanae atendeneze zuria jekundu,ule utoto ulikuwa poa sana
Huu uzi una ubaguzi flani hv, ngoja tuwaachie wakongwe mtiririke.
Betri zinaanikwa juani ili ziwe na nguvu zisikorome.Halafu zinafungwa kwenye rula za mianzi zina kuwa nyiiiiingiiSaa nane jumamosi duh halafu redio ya mkulima
Si hivyo kijana wakti umekuweka pembeni tu hata sie tunapata tabu sana na ktuni zenu za ben10!Huu uzi una ubaguzi flani hv, ngoja tuwaachie wakongwe mtiririke.
Zamani raha ukitaka kusikiliza nyimbo za bendi zetu unaanza na kombora hapo unapata burdani au ombi lako hapo sasa nafsi inatulia ah waqt umekwenda wapi? siku hizi radio nyingi lakini ladha hupati ila kwa vijana wa leo hamuwezi kuiona tofauti coz hamkuwepo.
Acha tujimwage mwage wala hauna ubaguzi mleta uzi chukua gwala kwa kuuleta.