Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Nakumbuka sana hivi vipaji sijui nani ila nawa wakumbuka sana kina Abdul Masoud(kutangaza mpira),Bati Kombwa,Athumani Magoma,Juma Ngondae,Tumbo Tamimu,Nelly Mkeremi,Suleiman Hegga,Athumani Ngalawa,Stephen Mlatie,Enock Ngombale,Tido Mhando,Chama Omari Matata,Salim Seif Nkamba,Sekione Kitojo,Abisai Stephen, wengi wame tanguli Mungu awa Rehemu na kuna walio hai ila vilikuwa ni vichwa.Mtangazaji mwenzie na huyu Deborah Mwenda aitwae Sarah Dumba katangulia mbele ya haki.
mmmhhh!!!!,tafadhari hiki ni kisiwa cha amani.Yah octoba itaamia Tz
Hapana. Aloisia Maneno bado yuko hai. Hata kwenye huu msiba wa Sarah Dumba yeye Aloisia Maneno ni mmoja wa watu waliomzungumzia marehemu enzi za uhai wake na akakiri kwamba marehemu ndiye aliyemfundisha kuandaa kipindi cha watoto cha Cheichei Shangazi. Wengine waliomzungumzia marehemu ni pamoja na watangazaji wa zamani Abdul Ngarawa na Halima Kihemba.Na Aloisia Maneno
Ahsante kwa ufafanuzi mkuuHapana. Aloisia Maneno bado yuko hai. Hata kwenye huu msiba wa Sarah Dumba yeye Aloisia Maneno ni mmoja wa watu waliomzungumzia marehemu enzi za uhai wake na akakiri kwamba marehemu ndiye aliyemfundisha kuandaa kipindi cha watoto cha Cheichei Shangazi. Wengine waliomzungumzia marehemu ni pamoja na watangazaji wa zamani Abdul Ngarawa na Halima Kihemba.