Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Tamu ya michezo ya radio ili kamilishwa wakiwemo watu hawa, mzee Ibrahim Raha(mzee Jongo),Ali Keto,Hamisi Tajiri,Mangushi,Mzee Kipara,Mama Hambiliki,Zena Dilip,Batholomeo Milulu, na hao hao uliwakuta kwenye mahoka, pwagu na pwaguzi ni ubunifu tu wa kucheza na sauti ila redio ili kuwa zaidi ya tv za sasa kwa vichekesho sio hawa macomedian wetu wa kutoa mimacho sijui kingwendu na wengine kubinjua midomo na visauti vya ajabu ajabu.