Unamkumbuka Edward Furlong wa Terminator II?

Ila lile lijamaa la kwenye terminator 2 ni noma aisee.... Yule demu wa terminator 3 halifikii kwa ukauzu.... Kama una picha yake ya sasa na yenyewe iweke..
 
Unamsemea Robert Patrick...bado anaigiza ila ni Mtu mzima sana sasa
images%20(38).jpeg
images%20(39).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom