nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
mkuu unataka kusema dully tayari ama?Wanasema aliwahi kubakwa na hajakasirika wala nini
aiseee hiyo ngoma ya bai show "... na hebu cheza nami ".... zilikuwaga ni balaa tupu mjiniNilikuwa napenda ngoma yake ya bai show aliyowashirikisha Unique Sisters
hahahaa ""... sindio maana wakamuita mr misifa .... Aisee ile sugar mamy mama kubwa ilikuwa ni balaaMapozi ya dully sasa na hizo heleni,kofia dah hivi huyu jamaa yuko sawa kweli???
hahaa hahaaWanasema aliwahi kubakwa na hajakasirika wala nini
Ewaaaa, najua una pesa, na umedata nami....noma duly enzi hizo.hahahaa ""... sindio maana wakamuita mr misifa .... Aisee ile sugar mamy mama kubwa ilikuwa ni balaa
Ha ha ha[emoji23] nimecheka sanaWanasema aliwahi kubakwa na hajakasirika wala nini
hahaaa sauwaaEwaaaa, najua una pesa, na umedata nami....noma duly enzi hizo.
Ngoja niwashe pc nile old bongo
ππππWanasema aliwahi kubakwa na hajakasirika wala nini
Juzi mwamba nimepishana nae kkoo yuko kwa mguu kachoka vumbi mpk kweny kope.kila zama na nabii wake.Ni Marc Dizzo,mchizi w da Skendo miaka ile ya 2000s,jamaa alikuwa anajua sana sema na yeye ndo dizaini ya Kina Jay Mo wakali sana ila nyota hawana..
Dizzo alikuwa member wa Dudu Baya,"Da Skendo" ambapo alipata kuhit na ngoma kama Sugar Mami ft Dully,Cheza nami,Nimuamini Nani,Jumba bovu,Mola Wangu etc
Hivi mmoja wa unique sisters anatangaza tbc international?Nilikuwa napenda ngoma yake ya bai show aliyowashirikisha Unique Sisters
Kachoka au yuko kwenye haso zake?Juzi mwamba nimepishana nae kkoo yuko kwa mguu kachoka vumbi mpk kweny kope.kila zama na nabii wake.
Wanasema aliwahi kubakwa na hajakasirika wala nini