Unamkumbuka huyu jamaa? Yuko wapi siku hizi?

Unamkumbuka huyu jamaa? Yuko wapi siku hizi?

hahahaa ""... sindio maana wakamuita mr misifa .... Aisee ile sugar mamy mama kubwa ilikuwa ni balaa
Ewaaaa, najua una pesa, na umedata nami....noma duly enzi hizo.
Ngoja niwashe pc nile old bongo
 
Mwamba siku hizi anakata makato pande za mtongani karibu na ngaramtoni kule kwa mrefuuu
 
Ni Marc Dizzo,mchizi w da Skendo miaka ile ya 2000s,jamaa alikuwa anajua sana sema na yeye ndo dizaini ya Kina Jay Mo wakali sana ila nyota hawana..
Dizzo alikuwa member wa Dudu Baya,"Da Skendo" ambapo alipata kuhit na ngoma kama Sugar Mami ft Dully,Cheza nami,Nimuamini Nani,Jumba bovu,Mola Wangu etc
Juzi mwamba nimepishana nae kkoo yuko kwa mguu kachoka vumbi mpk kweny kope.kila zama na nabii wake.
 
Yupo Dsm majuzi nilisikia redio flan walikua wana interview nae yupo mwamba,
 
Mark D mzee wa vina mwanzo, kati na mwisho...hatari sana. Sikia beat hiyo kwanza inavokita achana na manyanga ya akina sijui nani siku hizi. Manyanga hayana kick
"njoo ucheze nami zungusha kiuno maa"
 
Tamaa ya kupenda vitamu vitamu ilimfanya imamu kuingia jahnamu. Eh Mungu wangu, mja wako, nakushukuru nakutukuza eee ....
 
Back
Top Bottom