CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,914
- 3,476
Ndio kuna wabaya pia.Unaijua idadi ya Watoto na kina Mama waliouawa na hao Mabeberu huko Iraq? Afghanistan? Libya? Syria? Palestina na kwingineko? Unaijua idadi ya wanaouawa kwenye nchi mbalimbali kutokana na mikakati ya Mabeberu ya kupora mali hasa huko DRC na kwingineko?
Usidanganyike na hiyo picha tu,
Kila jamii ina watu wazuri na ina watu wabaya,sio Mabeberu wote ni watu wazuri na sio Race zingine watu wake wote ni wabaya,
Jipe muda,tafakari.
Sasa Mkuu, ila hujaujua ukorofi na ukatili Wa mablack america ndugu.Utakua una chuki zako binafsi tu na hizo kabila ulizozitaja,So hata ukieleweshwa huwezi kuelewa coz umesha kua brainwashed,
Black wanauawa kila siku ndani ya US na Whites au wewe unaishi Dunia gani ambayo hizi habari zinakua hazikufikii?
Kama Umasikini walituletea wenyewe hao acha watusaidie tuUnamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini.
Raia mmoja wa Norway Anja Ringgren Lovén alimuokota, akamuogesha na kumpeleka hospitali. Akapata matibabu kisha akarudi kuishi nae. Akamlisha vyakula vyenye virutubisho ili kuondokana na utapiamlo mkali aliokua nao.
Mwaka 2017 katika ukurasa wake wa Facebok Anja aliandika maneno haya (nimefanya tafsiri isiyo rasmi);
"Siku ile nilipomuona huyu Malalika aliyetelekezwa niliumia sana. Nilipombeba ktk viganja vyangu nilijua kabisa HATAPONA. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilipoteza matumaini ya uhai kwa mtu niliyeamua kumsaidia.
Alisimama kwa shida, alipumua kwa shida, alikula kwa shida. Hata alipolia sauti ilitoka kwa shida. Kila kitu kwake kilikua shida. Kwahiyo nilijua atakufa. Lakini sikutaka afe kama mnyama. Sikutaka afe bila utu. Sikutaka afe bila jina.
Nikaamua kumpa jina. Nikamuita HOPE. Neno Hope kwangu ni la pekee. Miaka mingi iliyopita nilichora "tatoo" yenye neno HOPE mikononi. Sijaifuta hadi leo. HOPE kwangu inamaanisha.
H- Help
O- One
P- Person
E- Everyday
Kwa muujiza wa Mungu Hope alipona. Picha ya kwanza kushoto ni wakati ameokotwa. Inayofuata ni 2017 akiwa ameanza shule. Picha ya 3 kushoto ni mwaka 2018, Anja alipost kuonesha maendeleo ya Hope tangu alipookotwa hadi wakati huo. Na picha ya mwisho kulia ni December 2020 Hope akiwa nyumbani kwa Anja anapolelewa.
Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa hiki. Unajisikiaje ukitupia chakula mbwa wakati watoto wa jirani yako wanashindia uji wa chumvi? Unajisikiaje kila weekend unafuja hela kwenye kumbi za starehe wakati kuna ndugu yako anakufa kwa kukosa elfu 10 ya matibabu?
Mungu anapokubariki sio kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Anakubariki ili ubariki wengine. Tunapotafakari kisa cha Anja na Hope tuendelee kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Penina. Wewe unayesoma ujumbe huu ndiye Anja wa kuikoa familia ya Penina itoke kwenye zizi wanaloishi kama wanyama, na wawe na makazi bora.
Tuma mchango wako kwenda (M-Pesa) 0743339247 au (Tigopesa) 0714639248 Gwakisa Mwakitega, au (AirtelMoney) 0783514607 Even Nassary. #RudishaTabasamu #LetLoveLead #MalisaGJ #GiftedHeart
View attachment 1714402
kuna jambo kubwa sana la kujifunza hapaUnamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini.
Raia mmoja wa Norway Anja Ringgren Lovén alimuokota, akamuogesha na kumpeleka hospitali. Akapata matibabu kisha akarudi kuishi nae. Akamlisha vyakula vyenye virutubisho ili kuondokana na utapiamlo mkali aliokua nao.
Mwaka 2017 katika ukurasa wake wa Facebok Anja aliandika maneno haya (nimefanya tafsiri isiyo rasmi);
"Siku ile nilipomuona huyu Malalika aliyetelekezwa niliumia sana. Nilipombeba ktk viganja vyangu nilijua kabisa HATAPONA. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilipoteza matumaini ya uhai kwa mtu niliyeamua kumsaidia.
Alisimama kwa shida, alipumua kwa shida, alikula kwa shida. Hata alipolia sauti ilitoka kwa shida. Kila kitu kwake kilikua shida. Kwahiyo nilijua atakufa. Lakini sikutaka afe kama mnyama. Sikutaka afe bila utu. Sikutaka afe bila jina.
Nikaamua kumpa jina. Nikamuita HOPE. Neno Hope kwangu ni la pekee. Miaka mingi iliyopita nilichora "tatoo" yenye neno HOPE mikononi. Sijaifuta hadi leo. HOPE kwangu inamaanisha.
H- Help
O- One
P- Person
E- Everyday
Kwa muujiza wa Mungu Hope alipona. Picha ya kwanza kushoto ni wakati ameokotwa. Inayofuata ni 2017 akiwa ameanza shule. Picha ya 3 kushoto ni mwaka 2018, Anja alipost kuonesha maendeleo ya Hope tangu alipookotwa hadi wakati huo. Na picha ya mwisho kulia ni December 2020 Hope akiwa nyumbani kwa Anja anapolelewa.
Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa hiki. Unajisikiaje ukitupia chakula mbwa wakati watoto wa jirani yako wanashindia uji wa chumvi? Unajisikiaje kila weekend unafuja hela kwenye kumbi za starehe wakati kuna ndugu yako anakufa kwa kukosa elfu 10 ya matibabu?
Mungu anapokubariki sio kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Anakubariki ili ubariki wengine. Tunapotafakari kisa cha Anja na Hope tuendelee kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Penina. Wewe unayesoma ujumbe huu ndiye Anja wa kuikoa familia ya Penina itoke kwenye zizi wanaloishi kama wanyama, na wawe na makazi bora.
View attachment 1714402
Kwanini hukuileta wewe?Mkuu umeleta maelezo marefu na picha za mtoto Hope aliyeokotwa Nigeria, unashindwaje kuleta maelezo a picha za mtoto wa Kihehe Penina wa hapa Pawaga Iringa?
Kuwa na siku njema mkuu.
Halafu kuna mijitu inawaita binadamu wenzao "mabeberu"Haswaa.. na ndo maana ya utu, ubinadamu!
Umaskini wetu ni kwasababu ya ujinga wetu acha kuwasingizia hao.Kama Umasikini walituletea wenyewe hao acha watusaidie tu
AmenTusichoke kutenda mema na kurudisha tabasamu kwa wengine pale tunapoweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namba za kutumia pesa zina majina ya Wachaga, lolote linaweza kutokea.
Kweli kabisa,, hata mchina hawezi kusaidia kabisa na anaweza kukufukia kwenye shimo au kukutupa kwenye mashine ya kusagia nyamaBila Beberu Waafrika tunauana.
Namba ya simu iko sehemu gani mkuu?Soma kwa kituo ili uelewe vizuri badala ya KUKURUPUKA. Umewekewa namba za simu za wahusika kuhusu michango inayoendelea ya kurudisha furaha ya Penina. Kama unataka kushiriki piga simu namba husika ili upewe maelezo kwa kina. Ukongwe wangu hapa jamvini HAUHUSU KITU.
Yeye pia aliyemuona huyu mtoto ni Malaika ila anasingizia kuvaa umbo la binadamu. Is an angle from heaven in disguise of human shape. Mimi sitaki kabisa kuamini kuwa aliyemuokota huyu mtoto ni binadamu bali malaikaUnamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini.
Raia mmoja wa Norway Anja Ringgren Lovén alimuokota, akamuogesha na kumpeleka hospitali. Akapata matibabu kisha akarudi kuishi nae. Akamlisha vyakula vyenye virutubisho ili kuondokana na utapiamlo mkali aliokua nao.
Mwaka 2017 katika ukurasa wake wa Facebok Anja aliandika maneno haya (nimefanya tafsiri isiyo rasmi);
"Siku ile nilipomuona huyu Malalika aliyetelekezwa niliumia sana. Nilipombeba ktk viganja vyangu nilijua kabisa HATAPONA. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilipoteza matumaini ya uhai kwa mtu niliyeamua kumsaidia.
Alisimama kwa shida, alipumua kwa shida, alikula kwa shida. Hata alipolia sauti ilitoka kwa shida. Kila kitu kwake kilikua shida. Kwahiyo nilijua atakufa. Lakini sikutaka afe kama mnyama. Sikutaka afe bila utu. Sikutaka afe bila jina.
Nikaamua kumpa jina. Nikamuita HOPE. Neno Hope kwangu ni la pekee. Miaka mingi iliyopita nilichora "tatoo" yenye neno HOPE mikononi. Sijaifuta hadi leo. HOPE kwangu inamaanisha.
H- Help
O- One
P- Person
E- Everyday
Kwa muujiza wa Mungu Hope alipona. Picha ya kwanza kushoto ni wakati ameokotwa. Inayofuata ni 2017 akiwa ameanza shule. Picha ya 3 kushoto ni mwaka 2018, Anja alipost kuonesha maendeleo ya Hope tangu alipookotwa hadi wakati huo. Na picha ya mwisho kulia ni December 2020 Hope akiwa nyumbani kwa Anja anapolelewa.
Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa hiki. Unajisikiaje ukitupia chakula mbwa wakati watoto wa jirani yako wanashindia uji wa chumvi? Unajisikiaje kila weekend unafuja hela kwenye kumbi za starehe wakati kuna ndugu yako anakufa kwa kukosa elfu 10 ya matibabu?
Mungu anapokubariki sio kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Anakubariki ili ubariki wengine. Tunapotafakari kisa cha Anja na Hope tuendelee kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Penina. Wewe unayesoma ujumbe huu ndiye Anja wa kuikoa familia ya Penina itoke kwenye zizi wanaloishi kama wanyama, na wawe na makazi bora.
View attachment 1714402
Mungu wabariki WazunguUnamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini.

Mwakitega ni mchagga? Kumbaff sanaNamba za kutumia pesa zina majina ya Wachaga, lolote linaweza kutokea.