Unamkumbuka huyu?

Na mleta mada Mkuu Fidel80 umeishia wapi,long time hujaonekana hapa Jukwaani.
 
huyo ni Binti wa Daktari Bingwa Mmoja wa Upasuaji anayefanya kazi KCMC Idara ya Upasuaji.Amewahi kutikisa katika ile globu iliyojichukulia umaarrufu then ikapigwa STOP na GAVMEE baada ya kumdhalilisha Prezidaa mmoja maarufu kama JK
Daktari Bingwa Mmoja wa Upasuaji anayefanya kazi KCMC Idara ya Upasuaji. Alipata ajali na kufariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…