Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Na mleta mada Mkuu Fidel80 umeishia wapi,long time hujaonekana hapa Jukwaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daktari Bingwa Mmoja wa Upasuaji anayefanya kazi KCMC Idara ya Upasuaji. Alipata ajali na kufarikihuyo ni Binti wa Daktari Bingwa Mmoja wa Upasuaji anayefanya kazi KCMC Idara ya Upasuaji.Amewahi kutikisa katika ile globu iliyojichukulia umaarrufu then ikapigwa STOP na GAVMEE baada ya kumdhalilisha Prezidaa mmoja maarufu kama JK