Unamkumbuka Jiti na wimbo wake ndoto tata?

Unamkumbuka Jiti na wimbo wake ndoto tata?

"Ilikuwa ni saa kumi kasorobo robo sheih Mbwana eeh bwana alikuwa jupo msikitini......"
 
sijui alipotelea huyu jamaa? hii nyimbo aliimba na Waziri Sonyo ambaye naye sijui yuko wapi. video ya ndoto tata ni moja ya viddeo ya kibunifu kuwahi kutokea Tanzania.

Kuna ile wazazi ya Jerome sijui
inapatikanaje.!!
 
Back
Top Bottom