Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Ni kawaida kwa binadamu ku shukuru/kum acknowledge binadamu mwenzie baada ya kufariki.Tabia ambayo imeota mizizi katika maisha yetu japokuwa sio tabia nzuri/mbegu nzuri ya kuipanda.

Katika muziki wa bongo flavor kuna watu ambao wamefanya kazi kubwa ya kuufikisha mziki huu hapa ulipo.Bila kuwakumbuka na kuwashukuru haitakuwa sahihi.Leo hii tunajivunia akina Diamond,Alikiba,vanessa,n.k lakini kuna giants ambao kwa wakati wao walishafanya makubwa ya kukumbukwa.

Thread hii ni special kwa kuwakumbuka na kuwa mention katika kumbukumbu zetu.
Akiwa msanii,dj,producers,redio presenters,
Let’s mention them.
 
Two Proud
Chief Ramso
D Rope (Sina hakika na spelling)
 
Daz baba.Dah uyu jamaa bila unga kumuharibu ila kuimba yuko vizuri.kipindi cha daz nundaz kibao kama cha kamanda ,barua.
 
Bushoke .jafarai ,solo thang.Mr ebo(R.I.P).soggy dogy Mzee wa kibanda cha simu.oten,gagwe mob,john walker(R.I.P).ngoni triable
 
Sugu.... Kuna truck moja inaitwa Sugu Moto chini... Kawadiss Mawingu hatari... moja ya mistari yake na mapromota koko popote mliko, akaonyesha jengo la kitega uchumi ,zilipokua ofisi za Mawingu zamani, pia kuna mstari mmoja anasema tunaingiza mamilion mnahonga mademu vitara... dili zangu ni dollar, Million moja kitu gani
 
Kwangu Mimi ni wengi mno...nikitaja mmoja naona kama ninajipunja.

Hashimu dogo-"Nakuacha mweupe ka'mkorogo chata ka'wagogo"

Geez mabovu.-
"kuwa na Heshima ili uheshimiwe"

Hard blasters.
"Nusu peponi nusu kuzimu ilimladi siku ipite"

Inspecta haroun babu.
John Mjema.
Solo thang.
Langa.
Roho 7.
LWP majitu.
Deplowmatz.
Mabaga fresh.
Kwanza unit.
Madonjo & domokaya
 
Back
Top Bottom