Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Huyu siku hizi ni hamsa-swalat; Amemgeukia Mola wake, tangu 2002! Wakati anaacha mziki, alikuwa na albam ya 3 mkononi, akaikataa kuipeleka sokoni!Kali p.imekaa vibaya.nilikua nafikiri kazi ya polisi ni yangu peke yangu.na nikifa ntakufa na magwanda yangu,pilauni yangu na pingu zangu,kumbe nilikua najidanganya.afande cha pombe(in Kali p voice)