Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Kali p.imekaa vibaya.nilikua nafikiri kazi ya polisi ni yangu peke yangu.na nikifa ntakufa na magwanda yangu,pilauni yangu na pingu zangu,kumbe nilikua najidanganya.afande cha pombe(in Kali p voice)
Huyu siku hizi ni hamsa-swalat; Amemgeukia Mola wake, tangu 2002! Wakati anaacha mziki, alikuwa na albam ya 3 mkononi, akaikataa kuipeleka sokoni!
 
Aboubakari Sadiki a.k.a Kwafujo kachangia sana kuupromote mziki
 
Asante kwa sahihisho.watu wengi sana hawajui mpaka Leo jina la jamaa ingawa nyimbo ilikua maarufu sana.akatoa nyingine Kilimanjaro kilimanjarooo ni mlima mrefu(in chaganian voice)
Wengi walimfahamu kama Rafael
 
Kwangu Mimi ni wengi mno...nikitaja mmoja naona kama ninajipunja.

Hashimu dogo-"Nakuacha mweupe ka'mkorogo chata ka'wagogo"

Geez mabovu.-
"kuwa na Heshima ili uheshimiwe"

Hard blasters.
"Nusu peponi nusu kuzimu ilimladi siku ipite"

Inspecta haroun babu.
John Mjema.
Solo thang.
Langa.
Roho 7.
LWP majitu.
Deplowmatz.
Mabaga fresh.
Kwanza unit.
Madonjo & domokaya
Ongeza hapo
Dogo hashimu tunasonga
University corner wazee wa t shirt na jinsi
Waswahili pengo
Solid ground family
Big dog poze
Mr Paul
Cas T nakuhitaji
 
1. Sugu
2. Pr jay
3. Dudu baya (mwasisi wa kiswahili kichafu)
4. Gk
5. Soggy dog
6. Sister p
7. Rah p
8. Zay b
9. Solid ground family
10. Gangwe mob
11. HBC
12. East coast team
13. Jay de
14. Daz nundaz
15. Mkoloni na mwenzake
16. Walioimba mwanza bara bara zilekebishwe.
17. Blue
18. Mr nice
19. Dully sike
20. Complex.
 
Kwanza unit
Hard blasters crew
Diplomats
Rip nigger one
KBC
Easy E
Stigo
Fanani
Willy
Professor Jay
Mr II
Balozi
Doggy doggy hunter
King crazy GK
Salehe jabir
 
Back
Top Bottom