Unamkumbuka Marlaw?

Daah huyu dogo sijui yuko wapi ma fisiemu yana dhambi tangu zile campaign ndio kikawa kifo chake jamaa angekomaa bongoflava ilisha mpendelea kama mondi sasa hivi
 
Yupo humu jF.Anangoja aone kama kuna madongo yoyote dhidi yake.
Kama hayatakuwezo basi atajieleza kwa kiref yuko wap na anafanya nini.
 
Marlow nao yupo kitengo alipewa pande na baba mkwe, aimbe ya nini na kashapata kazi poa ya kumuingizia kipato? Wataendelea kuimba wengine yeye amepumzika hana nafasi ya kuandika mashairi, ana kazi ya kuchora ramani za kufuatilia matukio nyeti.
 
Kibao chake cha "Si mimi" mwaka 2009 kilimliza sana mdogowangu baada ya kulimwa mvua 30 kwa tukio ambalo baada ya miaka mi5 muhusika alikuja kujulikana wakati dogo kashasota sana. Namshukuru Mungu nilimpambania hadi nikafilisika, ila Mungu alijibu kabla hata rufaa ya pili haijasikilizwa.
 
Nilimpenda na piipiii hatuelewani......

Ooh by the way Nimechoka kungojea.... nina siku nyingi kwenda home, I am missing my baby....
 
Daah pole sana mkuu


Lilikuwa tukio gani ?
 
[emoji4][emoji8]

Haloo baby, natamani niwe nyumbani nimekwama hapa njiani kuna jam baby.....

I love you mamaa, I love you mamaa my baby my baby...

Haloo haloo haloo. .......

Unanikatia simu unanionea, wee ungekuwepo ungejionea...... unanionea mamaa.....

Marlaww...... nilikuwa napenda anavyocheza.
 
Mke wake alikuwa na figure mamamamah! Nilikuwa nikiangalia nyimbo za Besta hata sielewi, najikuta natafakari kuhusu zile curves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…