pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Daah huyu dogo sijui yuko wapi ma fisiemu yana dhambi tangu zile campaign ndio kikawa kifo chake jamaa angekomaa bongoflava ilisha mpendelea kama mondi sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekubali hii ngoma kali.
Ilikua wapi hiyo?Akiimba kwenye graduation madem walikuwa wanamshangilia sana, enzi hizo niko zangu form 2 yeye form 6...
Mtwango Secondary School, Njombe.Ilikua wapi hiyo?
Kampeni ilimlipa sana amekuwa mfanyabiashara mkubwa kwa sasa hawezi tena kuhangaika na vipaza sauti. ..
Fundi samweli ni bonge la producerENZI IZO RHITA ILIBAMBA HOME YAN ILIPIGWA KAMA NDIO CHAKULA...
HII NDIYO LATEST AKIWA NA FUNDI SAMWELI
[emoji4][emoji8]Nilimpenda na piipiii hatuelewani......
Ooh by the way Nimechoka kungojea.... nina siku nyingi kwenda home, I am missing my baby....
Daah pole sana mkuuKibao chake cha "Si mimi" mwaka 2009 kilimliza sana mdogowangu baada ya kulimwa mvua 30 kwa tukio ambalo baada ya miaka mi5 muhusika alikuja kujulikana wakati dogo kashasota sana. Namshukuru Mungu nilimpambania hadi nikafilisika, ila Mungu alijibu kabla hata rufaa ya pili haijasikilizwa.
[emoji4][emoji8]