Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Umenikumbusha miaka ya 2007 kuja juu nikiwa O'level ni hatari sana mapenzi ya kidato.
 
Nilianza mapenzi nikiwa 24 YRS baada ya kuhitimu chuo kikuu(nilikuwa john kisomo) ndio nilianza kumiliki wapenzi kwa fujo zote....... sekondari nilikuwa Muoga sana... plus mikwara ya bibi mkubwa.
nikasema hapa nitakula ujana mpaka nifikishe miaka 35 ndio naoa, asikwambie mtu kijana ukiwa na kazi,elimu,pesa nzuri hawa viumbe wanajileta wenyewe .
safari iliishia miaka 27 tu kwa mrembo aliyeteka moyo, sasa tuna boys watatu tunalea

siwashauri Mapenzi kabla muda kufika imepoteza future za vijana wengi
 
Advance hapo .. kwenye foleni ya msosi mistari miwili wakike na kiume ikielekea dirishani kwenye msosi huku tukishika sahani na bakuli zetu ilikuwa zamu yetu form5 aka form one wa kiangazi .

kuelekea dirishani pembeni yangu kwenye mstari namuona mtoto na Dimpoz zake anaongea na wa mbele yake kwenye line akitabasamu

So you see that's where the trouble began

That's smile ..that damned smile

Mpaka nikapigwa kibao cha kisogo nisogee kwenye foleni ya msosi na wa nyuma yangu " oyaaa vipi babu "maana nilisimama namcheki mtoto mpaka akagundua akacheka zikiambatana na sauti za kibao cha kisogo na sauti ya mpishi wetu mzee wa makamo "wewe mpumbavu sogea"

Niko kwenye mti nakula nawachorea wana ramani black beuty flani hivi ana Dimpoz macho flani hivi ya uchokozi " oyaa kunguru we unamsemea Dainess akanijibu mwanangu mmoja hivi yeye anajua ratiba za misosi,mademu ,na michezo ila ratiba za vipindi hajui ..
"Yuko pcm huyo ndio yule anaetukimbiza chem na phy..hao ndio wamekuja shule sio wewe karungeyeye"

Niseme tu she want me dead... she want me alive [emoji16] she is crazy, nasty, brilliant mtoto anajua O.J Smith conspiracy theories,sjui brexit exit , normal girlfriend wanasoma novel yeye anasoma schimidit sting pain index na ana appl ya betpawa kwenye simu yake .
Tunaacha tunarudiana...tunaachana.. tunarudiana and cycle continue [emoji16]. Maana tunapeana dating advice saa nyingine [emoji16]
Huyu dainess mbona kama namjua hivi, adv 2014 to 2016?
 
Nilikuwa natoroka Umbwe naenda Somsom kumsubiria njia anayopita na wenzake akirudi kwao, akiniona full miaibu anakosa pozi kabisa, Jumapili naenda kumtega uwanja wa mpira Mlama secondari akiwa anaenda church (Parokia ya Kibosho Umbwe),basi akiniona anatamani kuanguka, namshika mkono,anaogopa sana sababu ya watu wanaopita.

Jumamosi nilikuwa naenda kumvizia Kombo(Gulioni) huku walau anavorudi kwao nilikuwa napata chansi ya kumsika kiuno na vichuchu vyake basi anaweweseka kinoma.Tatizo nilikuwa nikifosi nimpige miti kwenye mikahawa alikuwa anahaha sana, sehemu ya kumpigia miti ilikuwa inakosa, pisi moja black beauty kali sana.

Unfortunately niliishia kumtomasa manyonyo na kumshika kiuno. Nikaja kusikia aliolewa Arusha kipindi niko Advance, Ikawa mwisho wa pich
Nilikuwa natoroka Umbwe naenda Somsom kumsubiria njia anayopita na wenzake akirudi kwao, akiniona full miaibu anakosa pozi kabisa, Jumapili naenda kumtega uwanja wa mpira Mlama secondari akiwa anaenda church (Parokia ya Kibosho Umbwe),basi akiniona anatamani kuanguka, namshika mkono,anaogopa sana sababu ya watu wanaopita.

Jumamosi nilikuwa naenda kumvizia Kombo(Gulioni) huku walau anavorudi kwao nilikuwa napata chansi ya kumsika kiuno na vichuchu vyake basi anaweweseka kinoma.Tatizo nilikuwa nikifosi nimpige miti kwenye mikahawa alikuwa anahaha sana, sehemu ya kumpigia miti ilikuwa inakosa, pisi moja black beauty kali sana.

Unfortunately niliishia kumtomasa manyonyo na kumshika kiuno. Nikaja kusikia aliolewa Arusha kipindi niko Advance, Ikawa mwisho wa picha.
Braza ako wa lyamungo nakucheki tu nasema hiii,hiyo mitaa yote naielewa mkuu
 
Dah huu uzi umeniflash back miaka ya 2011 wakat nipo secondar tulipendana na bint yule haikuwa siri tena kila mtu alikuwa anajua she alikuwa cute kila mtu alikuwa anatuonea donge ile couple shule nzima tulikuwa role mode yetu kweli nimeamini kila moment unayoipata kwenye maisha ifurahie yaani mpaka leo nikiwasiliana na schoolmate wenzangu bado wananiuliza about her wanaamini bado tuko together now she ana maisha yake and me nina maisha yangu ila hatuachi kuwaciliana


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu vp kiporo mkikutana?
 
Mm nilishawai kula mtu na shost yake nikatengeneza bifu ambalo lilifanya mpk shule nzima wakajua kam nmewakula wote

C mnajua tena wasichana wasivyo na mioyo ya uvumilivu
Mkuu najaribu kuvuta picha vile ulivokua unatembea kwa kudundadunda
 
Nakumbuka tulikutana akiwa form 1 mimi form 3, kwa kifupi tulikuja kuoana baada ya college, lakini kwa bahati mbaya baada ya miaka nane na watoto wawili tuliishia na divorce, sasa kaolewa tena na bado tuna uhusiano mzuri na tunaheshimiana sana pamoja na mme wake
Mkuu kiporo km kawa sio?
 
Rebecca alinipenda sana ila mimi niliendekeza ukax nilikua mgumu ugumuni yaan suala la kubembelezana na demu nilikua naona kama ni udhaifu kutokana na shinikizo la machalii zangu walikua wananionea wivu wakawa wananiambia hawaongei na mtu mwenye demu eti nimevunja miiko ya wagumu tunadumu na mimi nikawa nampotezea demu Ila siku hizi namkumbuka sana japo kumpata siwez tena
Wagumu camp[emoji28][emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi unaweza kwenda masafa marefu sana kama ule wa kimasihara!- kama tamthilia ya Isidingo.
 
Lyamungo nilikuwa nafika pia mkuu....ila kuna bifu ilitokea 2019 kati ya Lyamungo na Umbwe hadi kupelekea mwanafunzi wa Umbwe kuuwawa....
 
Back
Top Bottom