Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Umenikumbusha miaka ya 2007 kuja juu nikiwa O'level ni hatari sana mapenzi ya kidato.
 
Nilianza mapenzi nikiwa 24 YRS baada ya kuhitimu chuo kikuu(nilikuwa john kisomo) ndio nilianza kumiliki wapenzi kwa fujo zote....... sekondari nilikuwa Muoga sana... plus mikwara ya bibi mkubwa.
nikasema hapa nitakula ujana mpaka nifikishe miaka 35 ndio naoa, asikwambie mtu kijana ukiwa na kazi,elimu,pesa nzuri hawa viumbe wanajileta wenyewe .
safari iliishia miaka 27 tu kwa mrembo aliyeteka moyo, sasa tuna boys watatu tunalea

siwashauri Mapenzi kabla muda kufika imepoteza future za vijana wengi
 
Huyu dainess mbona kama namjua hivi, adv 2014 to 2016?
 
 
Mkuu vp kiporo mkikutana?
 
Mm nilishawai kula mtu na shost yake nikatengeneza bifu ambalo lilifanya mpk shule nzima wakajua kam nmewakula wote

C mnajua tena wasichana wasivyo na mioyo ya uvumilivu
Mkuu najaribu kuvuta picha vile ulivokua unatembea kwa kudundadunda
 
Mkuu kiporo km kawa sio?
 
Wagumu camp[emoji28][emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi unaweza kwenda masafa marefu sana kama ule wa kimasihara!- kama tamthilia ya Isidingo.
 
Lyamungo nilikuwa nafika pia mkuu....ila kuna bifu ilitokea 2019 kati ya Lyamungo na Umbwe hadi kupelekea mwanafunzi wa Umbwe kuuwawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…