Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Alikuwa anapenda kunitembeza kwenye mvua,natetemeka njia nzima navyorudi nyumbani.Eti mapenzi ya kihindi🙄😏
Huu ya kutembezwa kwenye mvua ilinikuta.... Yule kaka ananipenda hadi kesho....
 
Swali la msingi ulimpa alichotaka?
 
alikua anasoma shule moja ya masista James Sangu girls schools...miaka 10+ imepita sasa!! nilimpenda mno..nilimata utepe..miaka ya mbele akaniacha aisee...umalaya ukaniponza..!! #shomiImissyou
 
Sjawahi kabisa kuwa na demu shuleni mi NLIKUWAGA KAUZU KINOMA MADEMU WALIKUWA WANANIOGOPA SANA
 
Dah kitu kikubwa alichonifanyia ambacho sitakuja kusahau ni kuniongezea hela ya ada na alikuwa na mapenzi ambayo mpaka sasa hivi sijawahi kupata kwa mtu mwingine, tulivyomaliza shule tukapotezana yeye akarudi mkoani kwao acha tu ibaki story
 
Chai
 
Maisha haya eczema ilinyima pisi nyingi sana olevel , ila nilivyopata chaka tu nimekula mno mbususu ,kokote uliko Irene Mikemangwa nilikuelewa sana hukujua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…