Unamkumbuka mpenzi wako yupi wakati ukiwa secondary school?

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Wengi wetu tumewahi kua na wapenzi wengi, lakini wengiwetu wanaume tumewahi kujikita katika mahusiano ya kimapenzi na mwanadada AYU na GIV.

Wale wenye pesa walidiriki kutembea na mtoto wa kishua imperial, maisha yanabadilika sana.

Lakini pia kuna wale mahardcore wenyewe waliamua kujilipua na kuingia katika mahusiano na wanawake wa uswazi kama Omo, jamaa na Takasa.

Wakati huo ukiwa form three mnajiita form FREE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moja tulifall in love alikua mzuri balaa, tamaa za kijinga enzi hizo zikanifanya nim-cheat, akasema nimuombe msamaa anisamehe nikwamwambia she better find someone better, so she left.

Akili zimekua sasa nimejua that was foolish, na mkipendana na mtu then keep it real, yes we were young lakini alikua mtu smart sana na one of the most beautiful people I’ve ever seen na anayewaza maendeleo, yaani plus kwenye everything. Sijui kwa nini wadada wa hivyo hua ni rare. I’m so over that now sababu the past ni past ila my next girlfriend hopefully atakua wa mwisho kabisa, I’m very picky though.

Ive had relationships with very wonderful women na wengine vichaa mnabreak up after a day, it was all a lesson though, sasa hivi I don’t take relationships for granted na najua what’s the value of having someone ukamwita life partner.
 
Kuna dem alikuwa anaitwa Mandela dem alikuwa ananipenda kishenzi.Nakumbuka siku ya Graduation yangu alininunulia jinsi kali na flana,Kumbe alikula Ada ya shule na kuninunulia nguo.Afu graduation mzima mi ndo nilifunika kwa pamba kali.Wenzangu wote utadhani wameambizana walikuwa wamevaa mashati ya Satini na suluari za marinda full kupigwa pasi.Mi mguuni nilikula kiatu moja matata ilikuwa inaitwa DIESEL ghali sana.Ankal angu aliniletea toka Uk.

Ulikua hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu mmoja alikuaga demu wangu japo sijawahi kumtongoza ila nahesabia demu wangu tu[emoji1787][emoji1787] nlimpenda sana ila kumwambia nlkua naogopa kuna mda mwnngne nlikua naenda shule oli nmuone tuu ila kutongoza naogopa daah nkikumbuka roho inauma

Yess bishoo hasWaaaa
 
Ni kweli ila Mimi sijawahi kujuta kwenye maisha japo Kuna demu nilimpenda so, kwa Mimi naonaga njia nzuri ni kupita kushoto kuliko kuwa na ma-stress Kama kichaa

Sijawahi kujuta Never ever
 
Kuna moja tulifall in love alikua mzuri balaa, tamaa za kijinga enzi hizo zikanifanya nim-cheat, akasema nimuombe msamaa anisamehe nikwamwambia she better find someone better, so she left.

Akili zimekua sasa nimejua that was foolish, na mkipendana na mtu then keep it real, yes we were young lakini alikua mtu smart sana na one of the most beautiful people I’ve ever seen na anayewaza maendeleo, yaani plus kwenye everything. Sijui kwa nini wadada wa hivyo hua ni rare. I’m so over that now sababu the past ni past ila my next girlfriend hopefully atakua wa mwisho kabisa, I’m very picky though.

Ive had relationships with very wonderful women na wengine vichaa mnabreak up after a day, it was all a lesson though, sasa hivi I don’t take relationships for granted na najua what’s the value of having someone ukamwita life partner.
ungetumia kiswahili tu nadhani ingenoga zaidi-sasa umechanganya lugha sijui ndio kututambishia kiasi kwamba utamu wote umebaki nao wewe mwenyewe ndg mtakatifu mwandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungetumia kiswahili tu nadhani ingenoga zaidi-sasa umechanganya lugha sijui ndio kututambishia kiasi kwamba utamu wote umebaki nao wewe mwenyewe ndg mtakatifu mwandishi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiona huelewi jua haikuandikwa kwa sababu yako kwa hiyo pita pembeni kimya kimya tu. Wasioelewa basic English sina muda nao kwa hiyo hata post zangu wasisome tu.
 
Sitakusahaukipenzi changa fidelia, uuuwi nakumbuka siku tumemaliza f6 sikuwa hata na chapa, ukampika mzinga kaka yako elf 60tukaenda kuziteketeza. Ndani ya siku 4nakumbuka nlichakata papuchi hadi nikashindwa kutembea magoti yamelegea. Nashukuru hadi leo miaka 15 bado tunawasiliana vizuri japo kila mmoja ana ndoa yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu uzi bn umenifanya nmkumbuke mtoto flan iv wa kichanga form one mpk 4 hyo
 
Back
Top Bottom