Unamkumbuka Mr Ebbo kwa kipi?

Unamkumbuka Mr Ebbo kwa kipi?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
download.jpeg

Abel Loshilaa Motika, maarufu kama Mr. Ebbo, alizaliwa tarehe 26 Mei 1974 jijini Arusha na alikuwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka Tanzania.

Alijipatia umaarufu wake kupitia wimbo wake "Mimi Mmasai" mwaka 2002. Nyimbo zake nyingine maarufu ni pamoja na "Bado" na "Kamongo" kupitia studio yake ya MOTIKA Records.

Mwaka 2003 aliteuliwa kuongoza kampeni ya serikali ya ubinafsishaji, ambapo alitoa nyimbo yake ya "Ubinaf-sishaji".

Alifariki dunia tarehe 1 Desemba 2011 kutokana na ugonjwa wa leukemia katika Hospitali ya Mission Usa River huko Arusha.

Je, unakumbuka Mr Ebbo kwa kipi?

Pia soma
- Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba Mr Ebbo?
- TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia
 
Nilikuwa namkubali style yake ya kipekee aliyoichagua ktk uimbaji wake.
 
"Na hii mkufu unauzaje unauzaje alfu tatu ongeaa naeeeeee mpaka mwisho alfu Moja, na hii saa unauzaje unauzaje alfu mbili ongea naeeeee mpaka mwisho alfu Moja"

Asante machinga bila nyinyi tusingeishi.....
 
Badoo Hujaona Samaki imepaka Wanjaa?Badoo!!!
 
Maneno mbofu mbofu.

Tunaambia watoto wetu mlima Kilimanjaro kagundua Rebman wakati akina mangi walikuwepo na wamezaliwà wanauoana hapo hapo.
Kwani kati ya hao mangi na mzungu ni nani alitoka na kwenda ulaya kuwaambia wazungu kuwa Kuna mlima mkubwa Afrika?

Au wewe ulitaka huyo mzungu asemeje kwa wenzie?
 
Nadhani hujaelewa nilichoandika katikq maelezo yangu sijaandika popote mlima mkubwa pia mlima haupimwi kwa ukubwa bali urefu nikusahihishe .

Mlima umekuwepo muda mrefu sana hapo, hata jina lenyewe ni asili ya hapo hapo

Sasa huyu mzungu kusema aligundua mlima inakuwaje sawa katika mizania ya kimantiki kwa muktadha huo?

Mjerumani akauita " Kilima-Ndscharo"

Asili ya jina inabeba maana ya "chui/ndege asiyeshindwa kwa makabila ya kibantu karibu na mkoa wa Kilimanjaro.
 
Mzungu yupo sahihi kusema kagundua huo mlima kwa sababu ni yeye aliyetoka ulaya kuja Afrika hivyo vyote alivyoviona kwa wenzake ni ugunduzi
 
Ushaona kinyonga anapiga kwikwi?
badoo! hatari hatari.. badoo.

Na samaki amepaka wanja?
badoo!, we unatokea wapi.

Na kondoo mwenye mwanya?

hahahaa! huu wimbo kila nikiusikiliza huwa nacheka sanaa
 
kazi ya bhangi.
"sema kichaa wake"
"leo baba zamu yako kutoa vyombo"
 
Huo ugonjwa ulioutaja Sijaujua mkuu ?! (Maelezo kdogo
 
Anaonekana alikuwa miongoni mwa Wamasai wachache ambao kidogo walipita pita shule, hawakupotezewa muda wao wote katika kuchunga ng'ombe tu.
 
Nadhani hujaelewa nilichoandika katikq maelezo yangu sijaandika popote mlima mkubwa pia mlima haupimwi kwa ukubwa bali urefu nikusahihishe .

Mlima umekuwepo muda mrefu sana hapo, hata jina lenyewe ni asili ya hapo hapo

Sasa huyu mzungu kusema aligundua mlima inakuwaje sawa katika mizania ya kimantiki kwa muktadha huo?

Mjerumani akauita " Kilima-Ndscharo"

Asili ya jina inabeba maana ya "chui/ndege asiyeshindwa kwa makabila ya kibantu karibu na mkoa wa Kilimanjaro.
Usihangaikemfafanulia sana Mkuu, mpe mfano rahisi kabisa yeye atokehapo alipo aende mkoa mwingine alafu akute jengo refu huko alikoenda alafu siku akirudimkoani kwao aende kuwaambia ndugu zake amegundua gorofa refu mkoa alioenda 😂😂
 
Sio mbaya Wakuu kama mkituwekea na baadhi ya nyimbo zake hapa.
Ninakumbuka tulikuwa na Album yake home, Mi Mmasai
 
Back
Top Bottom