Unamkumbuka msanii DOKII?

Ukiwa na njaa unafanya lolote ili uweze kuyamudu maisha....kuimba injili hata mashetani wanaimba siyo ishu....ishu ya ulokole mnaudhibitisho????...Sasa hivi ni msimu wa kampeni hivyo ndipo mshiko ulipo.....baadaye ataangalia wapi kunalipa then aanze kwingine.... Jamani mwacheni mdada wa watu,hiyo yote ni katika kuchakachua maisha ..we unafany mchezo na njaa nini?
 
Nilishawahi kumpa lifti pale Namanga alikuwa naenda Mwenge aisee ana story kinoma unatamani safari iendelee hadi Bondeni
 
Yuko wapi huyu msanii Dokii? Hajasikika muda mrefu sana
 
Yule alie mpoteza rich mavoko au[emoji28]
 
Naona vijana 'mapaja' hayo yanawazingua! Huyu demu nasikia alipelekwa kusoma na MENGI huko bondeni!:A S 8:
Ila huyu mzee Mafupi kawaunganisha wengi sana kwenye grid ya taifa.Rest unapostaili mzee Mafupj.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…