Digadiga aliitwa Double DBlackMoses na Athumani Digadiga na kina Bosco CoolJ walitikisa jiji enzi zao.
bila kuwasahau, Black footwork.!BlackMoses na Athumani Digadiga na kina Bosco CoolJ walitikisa jiji enzi zao.
kumbe humu jf tunalumbanaga vitoto!!simjui ila fresh kama amesha-danja
Cadet bongoman, Bosco Cool J, Super Ngedere, Jesca Ongala, Banza Stone,Dogodogo Kadoda,Small Jobiso nkDigadiga aliitwa Double D
Enzi hiyo Magu hajaingiamjini bado, Bashite ndo kwanza kaacha kunyonya.Digadiga aliitwa Double D
Kulikuwa na kina pia Digaa.,.hv hatuwezi pata clips zao....??Cadet bongoman, Bosco Cool J, Super Ngedere, Jesca Ongala, Banza Stone,Dogodogo Kadoda,Small Jobiso nk
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio, unalumbana na vitoto vilivyokuzidi akili
Alikuwepo mpinzani wake akiitwa Athumani DigadigaAnaitwa MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo... Enzi za muziki wa Disco Uko juu sana jamaa alikuwa maarufu sana kwa aina ya uchezaji mpaka disco linapotea kwenye ramani jamaa alikuwa Hana mpinzani
Jamaa baada ya kuwa maarufu kupitiliza aliamua kujiingiza kwenye madawa ya kulevya miaka hiyo na baada ya madawa kumtawala sana ulitokea ugomvi Kati yake na baba yake mzazi mzee SIMBA nyumbani kwao magomeni mapipa na MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES aliamua kujiua
R. I. P KING BLACK MOSES View attachment 851604
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe mhenga mwenzetuDigadiga aliitwa Double D
Mkuu Digadiga wala hakuwahi kumsumbua marehemu black moses alikuwa mpinzani wa kawaida sana, watu ambao walikuwa wanampa shida kila mashindano ni super ngedere wa moro , Kelly John, Bosco cool, bob kassim, baucha hawa ndio watu walikuwa wanampa shida Black moses ilikuwa Black moses akisikia hawa niliokutajia wapo kwenye mashindano basi Black moses anajipanga kweli maana kazi iipo....digadiga alikuwa kama body flani hiv mara kibao baada ya matokeo anaanzisha fujo kaonewaAlikuwepo mpinzani wake akiitwa Athumani Digadiga