Unamkumbuka nani hapa? Na ulikuwa wapi kipindi cha wakali hawa

Hao nawakumbuka na niliwaona wakicheza timu ya Taifa ya Afrika Kusini. Ilikuwa ni katika fainali za mataifa ya Afrika zilizochezwa mwaka 1996 kwao Afrika Kusini. Walitwaa ubingwa wakiizaba Tunisia 2-0. Wapi Williams? Wapi Eric Tinkler? Nilikikubali sana hicho kikosi cha Afrika Kusini. Viva South Africa!
 
Ninaowakumbuka hapo Andre Arendse, Sizwe Motaung, Neil Tovey, Lucas Radebe, Tinkler, Buthelezi, Doctor Khumalo, John Moshoeu, Phil Masinga, Shaun Bartlett
Bila shaka hujamsahau Roger De Sa aliyekuwa Golikipa wa Mamelodi Soundowns
 
Eric Tinkler jezi namba 21
 
Hapo Wachezaji waliokuwa wakinivutia na wakinifanya nitoroke Shuleni jioni na usiku kwenda kuwatizama huku nikikatiza Mapori na Vichaka nilipokuwa Shule ya Upili ( Sekondari ) huko kwa Mzee Yoweri Museveni ni Wawili tu Kiungo wa juu ( namba Nane ) John Moshoeu na Kiungo wa chini ( namba Sita ) Doctor Khumalo. Waafrika ya Kusini kamwe hawatakuja kupata Kikosi imara na kilichotukuka cha Timu ya Bafana Bafana kama hiki.
 
Kuna yule jamaa MASHOESHOE alikuwa hatari sana
 
umemsahau mark williams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…