Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
kumbuka mwaka 1995 walichukua kombe la rugy kwa upande wa rugyMsitake kuwapa sifa za kijinga ,walikuwa wachumba tu, nguvu za soda.
Like kombe walilochukua ardhi ya nyumbani kwao 1996 walikamia tu na matangazo kwa sana, ila kilikuwa kikosi cha kawaida sana. Msiwape sifa zilizopitiliza kisa imepita miaka mingi,wakati you tube zipo na zinadhibitisha ukawaida wao.
Vilevile walikuwa wanabebwa sana na kuonewa huruma sababu ndio walikuwa wametoka kwenye siasa za ubaguzi.
Ufaransa pia 1998 kwa kuwa walikuwa nyumbani walibebwa na kwa kuwa walikuwa na waafrika wengi pia walibebwa kwa kujaribu kuonyesha waafrika wanaweza eti we jamaaaMsitake kuwapa sifa za kijinga ,walikuwa wachumba tu, nguvu za soda.
Like kombe walilochukua ardhi ya nyumbani kwao 1996 walikamia tu na matangazo kwa sana, ila kilikuwa kikosi cha kawaida sana. Msiwape sifa zilizopitiliza kisa imepita miaka mingi,wakati you tube zipo na zinadhibitisha ukawaida wao.
Vilevile walikuwa wanabebwa sana na kuonewa huruma sababu ndio walikuwa wametoka kwenye siasa za ubaguzi.
Usilinganishe kikosi cha ufaransa cha 1998 na vitu vya kijingakijinga.Ufaransa pia 1998 kwa kuwa walikuwa nyumbani walibebwa na kwa kuwa walikuwa na waafrika wengi pia walibebwa kwa kujaribu kuonyesha waafrika wanaweza eti we jamaaa
Bila shaka nyie ni kizazi cha dot comMimi sikumbuki kitu hapo
CaptainWapi Lucas Radebe
Sina hakikaBila shaka nyie ni kizazi cha dot com
KWA HIYO TANZANIA TUKIANDAA MICHUANO KAMA HIYO TUNAWEZA KUBEBAUfaransa pia 1998 kwa kuwa walikuwa nyumbani walibebwa na kwa kuwa walikuwa na waafrika wengi pia walibebwa kwa kujaribu kuonyesha waafrika wanaweza eti we jamaaa
Ndio tunaweza, tukitukea kwenye siasa za ubaguzi wa rangiKWA HIYO TANZANIA TUKIANDAA MICHUANO KAMA HIYO TUNAWEZA KUBEBA
Muwe mnasoma na kuelewa.... Jamaa yako alileta hoja ya uenyeji na UblackUsilinganishe kikosi cha ufaransa cha 1998 na vitu vya kijingakijinga.
Hilo swali muulize aliyesema Bafana Bafana iliwin kwa uenyejiKWA HIYO TANZANIA TUKIANDAA MICHUANO KAMA HIYO TUNAWEZA KUBEBA
Hukuwepo.Mimi sikumbuki kitu hapo