Unamkumbuka nani hapa? Na ulikuwa wapi kipindi cha wakali hawa

Afu Kuna jamaa mmoja bonge LA kiungo alikuwa na jina la kike LINDA BUTHELEZI.... na captain wao Tovey ile timu ilikuwa ni balaaa
 
Msitake kuwapa sifa za kijinga ,walikuwa wachumba tu, nguvu za soda.
Like kombe walilochukua ardhi ya nyumbani kwao 1996 walikamia tu na matangazo kwa sana, ila kilikuwa kikosi cha kawaida sana. Msiwape sifa zilizopitiliza kisa imepita miaka mingi,wakati you tube zipo na zinadhibitisha ukawaida wao.
Vilevile walikuwa wanabebwa sana na kuonewa huruma sababu ndio walikuwa wametoka kwenye siasa za ubaguzi.
 
kumbuka mwaka 1995 walichukua kombe la rugy kwa upande wa rugy
 
South africa!!! acha nicheke kwanza 😀😀😀😀. Mabaguzi hayo, hayana maana yoyote bwana
 
Msitake kuwapa sifa za kijinga ,walikuwa wachumba tu, nguvu za soda.
Like kombe walilochukua ardhi ya nyumbani kwao 1996 walikamia tu na matangazo kwa sana, ila kilikuwa kikosi cha kawaida sana. Msiwape sifa zilizopitiliza kisa imepita miaka mingi,wakati you tube zipo na zinadhibitisha ukawaida wao.
Vilevile walikuwa wanabebwa sana na kuonewa huruma sababu ndio walikuwa wametoka kwenye siasa za ubaguzi.
Ufaransa pia 1998 kwa kuwa walikuwa nyumbani walibebwa na kwa kuwa walikuwa na waafrika wengi pia walibebwa kwa kujaribu kuonyesha waafrika wanaweza eti we jamaaa
 
Usilinganishe kikosi cha ufaransa cha 1998 na vitu vya kijingakijinga.
 
Huyo mark fish namkumbuka kwa sababu ya uzungu wake tu baaaaas nakumbuka nlikua dogo sana nlikua nashangaa inakuwaje mzungu anachezea timu ya afrika lakini pia jina lake lilichangia kumkariri
 
Ufaransa pia 1998 kwa kuwa walikuwa nyumbani walibebwa na kwa kuwa walikuwa na waafrika wengi pia walibebwa kwa kujaribu kuonyesha waafrika wanaweza eti we jamaaa
KWA HIYO TANZANIA TUKIANDAA MICHUANO KAMA HIYO TUNAWEZA KUBEBA
 
hata haueleweki unataka nini michezo na ubaguzi wapi na wapi
 
Back
Top Bottom