Gef
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 500
- 433
michel platinUkiacha "talisman" Zinedine Zidane, nani mwingine unamkumbuka toka katika picha hii ya mastaa wa Ufaransa waliotwaa ubingwa wa dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998.
![]()
Cc:
Guasa Amboni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
michel platinUkiacha "talisman" Zinedine Zidane, nani mwingine unamkumbuka toka katika picha hii ya mastaa wa Ufaransa waliotwaa ubingwa wa dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998.
![]()
Cc:
Guasa Amboni
Shukran nyingi kwako ndugu yangu kunialika hapa basi nami nitoe mchango wangu pana mtu mmoja hapo wa kuitwa Bernard diomede mwenye rasta huyo mtu hivi sasa ndio kocha wa U19 wa timu ya ufaransa. Asili yake ni visiwa vya quadelope ambavyo vipo carrebian huko huku mwenzie christian karembeu akitoka kisiwa cha new Caledonia walitoa mchango wao kunyanyua kwapa mwaka wa 98.Ukiacha "talisman" Zinedine Zidane, nani mwingine unamkumbuka toka katika picha hii ya mastaa wa Ufaransa waliotwaa ubingwa wa dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998.
![]()
Cc:
Guasa Amboni