Unamkumbuka nani katika kikosi hiki?

  1. Mwafrika mwenzetu/Zidane
  2. Lizarazu
  3. Djokaef
  4. Deschamps
  5. Viera
  6. Trezget/mwaArgentina
 
Ukiacha "talisman" Zinedine Zidane, nani mwingine unamkumbuka toka katika picha hii ya mastaa wa Ufaransa waliotwaa ubingwa wa dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998.

Cc:
Guasa Amboni
Shukran nyingi kwako ndugu yangu kunialika hapa basi nami nitoe mchango wangu pana mtu mmoja hapo wa kuitwa Bernard diomede mwenye rasta huyo mtu hivi sasa ndio kocha wa U19 wa timu ya ufaransa. Asili yake ni visiwa vya quadelope ambavyo vipo carrebian huko huku mwenzie christian karembeu akitoka kisiwa cha new Caledonia walitoa mchango wao kunyanyua kwapa mwaka wa 98.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…