Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Huyu ni muingereza alizaliwa mwaka 1973,
Alianza kuichezea Arsenal ya vijana mwaka 1989
Alikuwepo kwenye kikosi cha Arsenal kilichochukua Taji la First division chini ya kocha Graham, pia walitwaa Taji la ligi maarufu kama league cup, mwaka 1993 walitwaa Kombe la washind baran ulaya (winners european cup)
Yeye na rafiki yake Tony adam walikuwa ni walevi wakubwa, mwaka 1996 alipowasili Arsene wenger Aliwakuta hawa watukutu, Alibadilisha diet ya timu nzima., alibadilisha mienendo yao hasa ya ULEVI uliokithiri,
Raymond Parlour alifanya vizuri chin ya wenger, yeye na mwenzake Tony Adam walibadilika na kuisaidia arsenal kutwaa double (EPL na FA) katika msimu wa 1997/1998
Mwaka 2001/2002 anakumbukwa kwa goli lake zuri ktk Mchezo wa Fainal FA cup dhid ya chelsea,
Msimu huu pia Alitwaa Double (EPL na FA cup)
Alikaa arsenal had mwaka 2004 huku rafiki yake kipenzi Tony adam akistaafu, Alikuwepo kwenye kikosi cha Arsenal kilichomaliza bila kufungwa, mwaka 2004, Aliondoka arsenal na kwenda Middlesbroug.
RAY PARLOUR anabakia kuwa kati ya wachezaji wachache NDANI YA ENGLAND wenye Taji la FIRST DIVISION NA EPL
Mataji
3 Epl
1 first division
3 FA cups
3 Community shield
1 uefa cup winners
EPL LEGEND
JE WEWE UNAMKUMBUKAJE HUYU MWAMBA?