Unamkumbuka vipi Ray Parlour?

Unamkumbuka vipi Ray Parlour?

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Huyu ni muingereza alizaliwa mwaka 1973,

Alianza kuichezea Arsenal ya vijana mwaka 1989

Alikuwepo kwenye kikosi cha Arsenal kilichochukua Taji la First division chini ya kocha Graham, pia walitwaa Taji la ligi maarufu kama league cup, mwaka 1993 walitwaa Kombe la washind baran ulaya (winners european cup)

Yeye na rafiki yake Tony adam walikuwa ni walevi wakubwa, mwaka 1996 alipowasili Arsene wenger Aliwakuta hawa watukutu, Alibadilisha diet ya timu nzima., alibadilisha mienendo yao hasa ya ULEVI uliokithiri,

Raymond Parlour alifanya vizuri chin ya wenger, yeye na mwenzake Tony Adam walibadilika na kuisaidia arsenal kutwaa double (EPL na FA) katika msimu wa 1997/1998

Mwaka 2001/2002 anakumbukwa kwa goli lake zuri ktk Mchezo wa Fainal FA cup dhid ya chelsea,

Msimu huu pia Alitwaa Double (EPL na FA cup)

Alikaa arsenal had mwaka 2004 huku rafiki yake kipenzi Tony adam akistaafu, Alikuwepo kwenye kikosi cha Arsenal kilichomaliza bila kufungwa, mwaka 2004, Aliondoka arsenal na kwenda Middlesbroug.

RAY PARLOUR anabakia kuwa kati ya wachezaji wachache NDANI YA ENGLAND wenye Taji la FIRST DIVISION NA EPL

Mataji

3 Epl
1 first division
3 FA cups
3 Community shield
1 uefa cup winners

EPL LEGEND

JE WEWE UNAMKUMBUKAJE HUYU MWAMBA?
2828667.main_image.jpg
 
JE WEWE UNAMKUMBUKAJE HUYU MWAMBA? View attachment 781887

images-3.jpg
 
Safi sana...namkumbuka huyu mwamba kipindi kile na kina LEE DIXON,MARK OVERMAS,E.PETIT,BERGIKAMP nk
 
Daaah km mwanaGunners umenigusa sana!

Wakuitwa Romford Pele ...Hatari sanaaaa huyu kiumbe katikati ya dimba kiukwel ilikuw hapana machezooo!
 
Alikuwa kama mwehu hivi, Kizazi cha sasa hakina wapiganaji kama hawa ndan ya Arsenal yetu
Hakika Mkuu! tukiacha ukichaa wake na ulevi pemben ..aseee romford pele alikuw fighter la maana! undava undava tu ..ubabe ubabe yaaan! Kumbuka kikosi cha Invinsibles ..nadhan soft soft alkuwa Reyes peke ake lakin wengne walikuw WANAUME WA SHOKA Kweli!
Shame! AFC ya sasa imejaa vitoto tu visivyojua thamani ya Red n White Jersey! Too Softyyy..
 
Mwaka 1998 game za mwisho mwisho wa ligi, man u alikuwa anatufukuzia kwa kasi, halafu tuna game na everton ambao wanataka kushuka daraja, Aisee hawa wanaume kina Ray parlour Walipigania point tatu sijawahi kuona, Mech ile na ngumi zilitembea, point tatu zikapatikana Na UBINGWA WAKAUBEBA, huyu na mwenzake Tony adam wote wametokea Romford
 
Ila kuna jamaa flan mbrazil mkimya lakini alikuwa anapiga kiungo moja ya hatari yani bado nahisi tunahitaji watu namna ile aseeeeh

GILBERTO SILVA
 
Mkuu umenikumbusha hik game!
Kiukwel AFC ya kina Ray sio tu Wanakufunga bali Pia na Ukizubaa na Mkono wanakutembezea ..Kumbuka Kelebu alizokula Van NesterRooy pale O.T show ikisimamiwa na Keown!
 
Huyu mtu naye alikuwa hafai aisee, Yaan wenger mwisho aliishiwa mbinu kabisa za kuwaleta na kuwa treat watu kama hawa
 
Mkuu umenikumbusha hik game!
Kiukwel AFC ya kina Ray sio tu Wanakufunga bali Pia na Ukizubaa na Mkono wanakutembezea ..Kumbuka Kelebu alizokula Van NesterRooy pale O.T show ikisimamiwa na Keown!
Acha kabisa hawa watu walikuwa na uchungu na beji ya timu, sio hawa kina iwobi, mustafi anachoma halafu anakimbia mechi
 
Back
Top Bottom