Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka?

Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka?

Tate Mwenye

Member
Joined
May 23, 2022
Posts
9
Reaction score
62
Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande??

Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
 
Ila kazi ya ualimu inadharaulika na kusimangwa sana mazeee....😑
 
🤣🤣🤣 sijui nimtaje jina
 
Back
Top Bottom