Asyamzalendo,
Miezi michache iliyopita nililweka post hii hapa Majlis:
SIKU CHIEF ADAM SAPI MKWAWA ALIPOJIUNGA NA TANU MWAKA WA 1955
Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipopokea fuvu la babu yake Mtwa Mkwawa
Kalenga
''Maisha ya
Chifu Adam Sapi Mkwawa yalitokeaa katika
''Baragumu,'' Aprili 12, 1956.
Alisoma Tabora na Makerere alikokwenda kusomea udaktari.
Hakumaliza masomo yake na alilazimika kurudi nyumbani
kuchukua nafasi ya Uchifu wa Wahehe.
Alichaguliwa mjumbe wa Baraza la Kutunga sheria mwaka 1947
akiwa na umri wa miaka 27.
Mwaka 1955
Abdulwahid Sykes na
Dossa Aziz walialikwa na
Chifu Adam Sapi kwenda Kalenga kwenye sherehe za kukabidhiwa
fuvu la
Chifu Mkwawa aliyejiua katika vita vya Wahehe na Wajerumani.
Chifu Adam Sapi Mkwawa aliingizwa kisirisiri ndani ya TANU na
Dossa
Aziz hivyo kuwa mmoja wa machifu wa wachache sana waliounga mkono
TANU.''
(Kwa maelezo ya Machifu waliounga mkono TANU angalia Sauti ya TANU
No. 22 ya tarehe 28 Februari, 1958).
Kutoka kitabu: ''Maisha na Nyakati za Abdul Sykes...''
''Our tour of Iringa took us to the museum of the Legendary Chief Mtwa (Abdullah) Mkwawa of the Wahehe tribe. He was a Muslim who fought the Germans in the late 19th century and after his defeat they took his skull to Germany as a trophy. He was converted by one Sheikh From Tanga and was taught Arabic and The Holy Qur'aan. The letter in Arabic is purported to have been written by him to the Sheikh in Tanga requesting for reinforcement to help him fight the Germans. His grandson the late Chief Adam Sapi Mkwawa managed to have his skull returned to Tanzania in 1955 and he received it in a parade of honour as some of these pictures show. Allah rhamhum.''
Picha na maelezo hapo juu kwa hisani ya Ummie Mahfoudha Alley.