tumeona kwa nje na tunasema kwa nje, sawa ni maza ya nyumbani, kweli anaweza kuwa anakupikia, anakufulia mmezaa watoto, na sio amekuzalia (sio machine au chombo baki) ni mke.....anaweza fanya yote.....ila anaweza kuwa hakuheshimu.....na maneno kama chiriku aliekoswa na manati....majibu ya ghilba ghilba......nyumba ni moto wakati wote,,,,,ukichelewa kosa, ukiwahi kosa.....hata wanaume ni binadamu.......tena kitenge cha sare shukuru anakuthamini...angeweza kutokukupa hata kipande......sare sare imekuuma.....ndoa zina mabo sana