Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Alieleta dhalau hapo ni mchepuko ama mwanaume?Zamani Mungu alikuwa anachelewa kujibu, ila Siku hizi kwa kuwa upuuzi ni mwingi wala hachelewi akichelewa sana ni mwaka mmoja tu.Siku zote malipo ni hapa hapa duniani, huwezi mdhalau Mke anaekuthamini na kukuheshimu ukabaki salama.
Nisamehe mke wangu. Sitarudia tena huo mchezo wa kukumbatia bomuMke uliyemtolea mahari na kukabidhiwa na wazazi wake. Amekuzalia watoto, anafua na kupiga pasi nguo zako, anapika chakula watoto wako na wewe hamlali na njaa leo unampa mateso haya.
Leo amekwenda saloon kusuka yeboyebo ingawa hupendi ajichanganye ili asisikie ufuska wako. Amekutana na ule mchepuko wako wa bank uluimletea kitenge ulipoenda Ivory Coast. Kumbe ulinunua sare na mke wako.
Mchepuko anamjua mke wako na anamdharau kwakua ni mama wa nyumbani. Bank ajira yake aliipata kwakua branch manager ni mshirika wako wa biashara ulihakikisha anapita usaili.
Kuna kitu unakitafuta na utakipata hivi karibuni.
Ni mtazamo wa watu tu,wengi huamini kufanya kazi kule ndio kuna malipo mazuri mkuu kumbe sivyo.Kwann Adith nyingi za mapenzi mnapenda kuzihusisha na wafanyakazi wa Benki, na mimi nikisha ona neno benki najua hii ni chai.
Ukiona manyooooyaaa jua kaisha liwaaaaMke uliyemtolea mahari na kukabidhiwa na wazazi wake. Amekuzalia watoto, anafua na kupiga pasi nguo zako, anapika chakula watoto wako na wewe hamlali na njaa leo unampa mateso haya.