Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
wivu tu... na wewe tuache kuja kwenye biashara zako kisa tunakutajirisha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1/ kudondoka ghorofaniProf j nae si aliumwa kidgo tumpoteze au nae aliweka bondi roho
Ebu nipe faida moja ya kufa na ini au figo zima.Je hii inaingia akilini?
Sijaona na sitoona faida ya pombe kabisa. Nimekaa na kutafakari kwa kina kwamba yani mimi ninunue pombe haswa hizi kali niharibu maini na figo ili nimtajirishe mmiliki na mtengenezaji wa hizo pombe?
Ndugu zangu haswa wakati huu ambao tunaelekea kwenye sikukuu za kumaliza mwisho wa mwaka, watu huona kunywa pombe ndio starehe haswa ya kufurahia sikukuu ndugu zangu tuache pombe. Pombe haina faida yoyote.
Embu one mwana wa valuvalu Jose Chameleone yuko hospitalini hivi sasa afya yake imezorota sababu ya pombe, je nikuulize wale waliokua wanakunywa nae wapo wapi?
Je wamiliki wa hayo makampuni za pombe wako wapi ,? Wao wako wanakula raha kwa pesa zenu mlizowachangia za kununua pombe zao, mbaya zaidi wao hawanywi pombe..
Ewe kijana, jiwekee malengo kua mwaka 2025 hakuna pesa yako itanunua pombe,hujachelewa, jiwekee malengo sasa na Mungu akusaidie.