Unampaje mtu utajiri huku wewe ukiunguza maini na kuharibu figo zako?

Prof j nae si aliumwa kidgo tumpoteze au nae aliweka bondi roho
1/ kudondoka ghorofani
2/ story za waganda kwamba jamaa anaangaika kujinasua(jamaa ana depression ya muda mrefu)
3/ wimbo natamani nikuone


Hizo. Ndio points nilizotumia, prof j siwezi SEMA lolote ,Sina mtiririko wa maisha yake kabla hajaugua, na hata chameleon sijaconclude ila nimehisi kwa kuunga hizo codes!!!!!!
 
Ebu nipe faida moja ya kufa na ini au figo zima.

Acha kupangia watu maisha hujui,pombe ndio zinazowndesha uchumi wa nchi yako.?
 
Wewe kama ni mwanamke mume atakua kashakuchoka unaonekana una gubu sana..sis wanywaji mbona hua hatuna muda na nyie au unafikiri mirinda nyeusi inachumwa shambani..
 
Kisa nimenunua helikopta ndo ukataze watu wasinywe pombe zangu. Acha wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…