GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hapa nilipo nchini Somalia katika Mji maarufu wa Hargeisa kuna Mwanasiasa Mmoja maarufu aitwae Mahmoud Salim kaenda Jela miaka mingi tu ila kuna mwingine nae pia ni maarufu na Kipenzi cha wengi aitwae Tariq Masoud muda wowote anaenda Jela.
Bahati nzuri wote hawa ni Marafiki zangu wakubwa Mimi GENTAMYCINE hapa nilipo sasa Kimakazi nchini Somalia ila sina Msaada mwingine wa kuwapa bali labda ni wa Kisaikolojia pekee kama mtanisaidia nao ili nikawape.
Huyo Mahmoud Salim kafungwa Miaka 29 + 1 kutokana na Ubabe wake wa Kisomali na huyu Tariq Masoud ana Kesi kubwa ya Ugaidi inayomkabili ( japo bado hajahukumiwa) ila kwa Kesi ilivyo hapa Somalia Wanasheria Nguli wanasema Jela Kwake haikwepeki.
Je, nikawajenge vipi hawa Kisaikolojia?